JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi Kuna kitu wanawake wanakiona kwenye TAMTHILIA ambacho hatukioni. Hasa za Maisha Magic na zile za Amerika ya kusini. It is just too much
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Respect yourself this holiday If you dont know English just type "HAPPY EASTER" We dont want see the post like 'HE AROUSED' , ' HE AROUSEN', 'HE HAS RICED' 'HE ROASTED FROM THE DEAD' 🤣🙆‍♂️...
2 Reactions
4 Replies
867 Views
Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza. Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu...
30 Reactions
53 Replies
6K Views
Ningependa kufahamishwa ni comment gani huku jf ina likes nyingi kuliko comment zote?
3 Reactions
4 Replies
588 Views
Uzi wa kufahamu walipo kwa sasa na wanachofanya wenye majina yaliyowahi kuwika sana Tanzania Yuko wapi Tundu Antipas Lissu? Yuko wapi Dr. Edward Hosea? wakati huu wa kuelekea uchaguzi angekuwa...
5 Reactions
124 Replies
16K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania... Akina Mama huku mbele mtanipa!? Akina Baba huko nyuma mtanipa!? "Ahsanteni"
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Kwa wale ambao ni wasaliti ikiwa ni kwenye ndoa zao,au ktk patnership za biashara au kazi nawakumbusha tuu kwamba mwenzenu Yuda leo ameishaingiza madola yake haramu toka jana. Endeleeni na hizo...
1 Reactions
2 Replies
972 Views
Ndugu zangu wa (UWABATA),Chama Cha wanaume bahiri Tanzania hili swala tusiliache lipite hivihivi!,moja kwa moja Kama UWABATA limenishika na kuniteteresha kiuchumi! Ktk pitapita nimeona kweli...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikitokea upo mazingira ambayo upatikanaji wa choo ni mgumu, ukaamua kujisaidia kichakani Ile umeondoka tu unageuka nyuma ukamuona mtu anazoa kinyesi chako na kukiweka kwenye karatasi kisha...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kila mtu ana mtaa wake aliotoka, na tabia mbalimbali leo tuongelee kuhusu hizi daladala zetu wa UBER mtuache kwanza🤣 Sisi daladala za huku kwetu huwa zinajaa mpaka KONDA anapanda BODABODA vipi...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Ndio nakumbuka leo ni Ijumaa ile tunayoiita Ijumaa kuu yenye amri, Usile nyama siku ya Ijumaa kuu. Just imagine ndio uko na mning'inio wa ziada 'hangover' na umeambiwa usile tu nyama siku zote...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa vitabu na walimu mbali mbali ina sadikika kuwa hivyo Wewe kama mwana historia jadili kutuaminisha kwa hii maada hapo juu Kiswahili & kingereza 0 KARIBUNI
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo. Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.
1 Reactions
16 Replies
897 Views
Nikiwa nimekaa mchana wa jana nikapitiwa na usingizi ghafla nikaota zitatolewa/zitatangazwa ajira mpya zisizopungua elfu 30 na zisizozidi elfu 32 mwezi wa kumi mwaka huu. Mulemule ndotoni nikawa...
1 Reactions
5 Replies
827 Views
Hakuna kama Sky eclat huyu dada ni mkali wao yaani ni wa moto linapokuja suala la uelewa kichwani kwake ni mchezo simple kuna ma file mazito juu yake. Kiukweli nampenda huyu mama wanawake wote...
25 Reactions
82 Replies
5K Views
Kuna watu ni wagumu kubadilika kuendana na zama. Zamani mtu akiwa na kitambi au mnene ilikuwa ni sifa lakini zama hizi ni suala la aibu. Kumwambia mtu kanenepa au ana kitambi ni matusi. Nawaomba...
2 Reactions
3 Replies
592 Views
UNDUGU NI KUFAANA. Undugu ni kufaana, wala sio kufanana, Na mikono kushikana, mambo kushirikiana, Mapenzi na kupendana, wala si kuchukiana, Undugu wa kugombana, kwangu hauna maana, Hadharani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakuaminia sana Mama kwa jinsi unavyojua Kucheza vyema Mchezo wako wa Draft. Jana umesukuma Kete Moja nzuri sana nikakubali kuwa Draft unalijua na umeiva nalo. Sasa Mama bado Kete zako Mbili tu...
1 Reactions
0 Replies
700 Views
Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi[emoji117]Baada ya kumwagika kwa pombe, suluhu ikaja na mpango mkakati. Endelea...... Note: sio lazima utumie maneno yote manne.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…