JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi ni kutokana na kadi ya clinic majibu kuwa negative kwenye upande wa vipimo (nadhani tunaelewana). Wazee huwa tunapakimbilia sana hapo. Usiku mwema wakuu
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau humu habari za saa hizi, Okey jana bwana kuna kisanga kimenitokea kisa Kunywa pombe ila kuweka sawa tatizo hilo ni hivi Mimi huwa nikinywa pombe huwa napata vibe la hatari. Yani nakuwa...
3 Reactions
7 Replies
957 Views
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka. Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Ghj
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Dunia tunayoishi ni Dunia ya mashindano. Maendeleo tunayoyaona sasa yametokana na mashindano yaliyochagizwa na wivu. Sasa kama uko na site unajenga, ukiona marafiki wamekutembelea na wakaondoka...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu Wadau wa JF, niulize Chochote Kuhusu Shule ya Sekondari Ya Jitegemee Enzi za Mwalimu Masawe, Kipingu & Kichonge Mnakaribishwa kwa maswali
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale wakola wenzangu wa kuchapa maduu tuambizane hapa gest gani uliyowahi kuitumia kwenye mambo yako na bei ilikuaje? Pia tuambizane chimbo za gest za bei nafuu ili namna gani vipi ukiopoa ujue...
4 Reactions
387 Replies
67K Views
Watanzania Wazalendo wote Hamjamboni wote! Naomba mfahamu ya kuwa siyo kila abebaye mayai kwenye baiskeli hususani phoenix anatokea kanda maalumu ya Tarime Hiyo ni dhana potofu na inayokera...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mihangaiko ndugu jamaa na marafil wa jf. Natumai wazima wa afya tele, Mm pia cjambo Wana jamii wenzang ,wake kwa waume vijana kwa wazee, mabibi na mabwana napenda kufuchuka nafasi ya...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Hapa nawazungumzia wale tulioshindwa kufaul mtihani wa kidato cha nne kwa miaka ya 2010-2015 na kuingia mtaani kusaka chapaa. Lengo nikuwapa hamasa wale waliofaulu kwenda vyuoni...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari! Tukiendelea kusheherekea Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaenzi mashujaa wote. Tutumie na kufahamu misemo ya zamani na maana zake. Kuna huu msemo wa "Uchawi auvuki bahari" nimekuwa nikisikia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Na kinachonishangaza zaidi Joni ni mkubwa Kiumri na hata Kipesa kuliko Huseni ila cha Kushangaza ni Siku chache sana tu Huseni wa Visiwani Zanzibar kapanda Cheo cha Kusimamia Karafuu za Zanzibar...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kuposti kwenye group la wapare kufumba na kufumbua uadmin nikapewa. Sasa ndo najiunga na group la wanyakyusa nipost nini?? πŸ˜†πŸ˜†
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nikiwa kanisani mapema sana, ndipo mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu" Sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma Hali ilikuwa nzuri na ya kuridhisha kwel kweli,licha ya upigaji wa maeuro/mapound tulokuwa tunaminya bado Hali mtaani ilienendelea kuwa fresh ukilinganisha na sasahivi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
SEPTEMBER 2020 #Jamaa: Lissu ni kibaraka wa mabeberu. Amepewa pesa na mabeberu kuja kuharibu amani ya Tanzania. Magufuli tano tena.! #Mimi: Bro hiyo sio siasa. Jadili issues acha kuattack...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
Nishagonga like 665 kuwapa watu so leo ni siku ya kumpatia mtu like ya 666, tofauti na like zingine hii kidogo itakuwa unique kwani atakayeipata basi atapata na offer. Nitaitoa kwa atakaecomment...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Humu ndani hawakosekani watu wanaokufagilia kila mchango unaotoa lazima wapite nao kwa kuweka like.na wewe zipo ID ambazo chochote wakichangia kwenye thread husika lazima tu uwape likes.ebu wataje...
6 Reactions
8 Replies
828 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…