JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe? Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wakuu Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
natumai hamjambo wakuu, karibuni hapa ku-share top 5 ya mitandao yenu pendwa ya kijamii, binafsi listi yangu ipo hivi: 1.Jamii forums 2.Jamii forums 3.Jamii forums 4.Quora 5.Mocospace
2 Reactions
76 Replies
7K Views
aseeee! pamoja wengi avatar sio zao, lakini mtu inakua ukiiona tuu unapagawa yani unaona kama labda anafanania vile, kumbe ukute ni furushi tuu halina mpango, ipi kwako inakuvutia na kukupa...
2 Reactions
225 Replies
22K Views
Wadada wa mjini wana visa sana.Katika watu wenye masharti wakitaka kuolewa ni wadada wa mjini yaani masharti na vigezo Kama waganga. Wanachagua wanaume kwa wadhifa,makabila,muonekano na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Aah jaman natafuta wa kuchat nae mkeshaji mwenzangu
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Yaan humu ukiandika mada zenye tija wala hawachangii andika upuuzi ,umbea,udaku watapigiana simu,wataitana mbaya zaidi wanaume ,bora wanawake tunajuanaga ni wambea tunachambana yanaisha,,wanaume...
12 Reactions
241 Replies
9K Views
Hapa nina orodha ya baadhi ya wanaJF na kazi ambazo zinawafiti... Asprin - mstaafu TRA Chief - mkwawa (IT) FaizaFoxy - mstaafu hapo Lumumba. Kiduku Lilo - Lucas Mobutu troublemaker...
19 Reactions
95 Replies
5K Views
Post unachoona ni funny ili kuwaburudisha wengine kwa namna ya utani. Tofauti ya mwanamke wa kizungu anapokuwa diet na black mamba anapokuwa diet. Na kila mmoja ametolewa out na boyfriend wake...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
1. Kuamulia Ngumi baina ya Mwanaume kwa Mwanaume kwani upo uwezekano Ngumi zao zote zikaishia Usoni Kwako na Kuumuka. 2. Kupatanisha Mgogoro wa Kimapenzi wa ama Wapenzi au Wanandoa kwani wakiwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtu Mzima (18+) kutazama katuni ni SAWA? Au ni ukosefu wa kazi za kufanya? Toa Mtazamo wako.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
This Is the Super Thread Where the Fans of Politics Meets The Fans Of MMU and lastly The Fans Of Sports and Entertainment... To come up with ideas and hints from all the three categories Show...
0 Reactions
4 Replies
453 Views
[emoji1241]🤝🏽[emoji630]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wakuu, Karibu kila mmoja wetu hupatiwa jina la utani na familia/jamii inayomzunguka kulingana na tabia/matendo yake, karibuni hapa kushare majina yenu ya utani na sababu ya...
0 Reactions
159 Replies
9K Views
Ni mjadala mdogo tu kwamba kila mtu huwa ana ulevi wake sasa hebu tuambiane kati ya walevi wa Pombe ( wazee wa tungi) na walevi wa sex ( wazee wa migegedano) wepi ni wengi zaidi duniani au ndio...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu wapi naweza kupata course ya kufanya massage maana kila nikiwaza njemba iwe ina mshika shika mamiloo hapana aisee.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
jaman habar zenu hili swala limekuwa likinitatiza sana huwa naotea tuu mara nkute bado hayajaiva mara nikute yamesagika tayari kwahyo nmeshindwa kujua kabisa muda mwafaka wa kuiva naombemi mnipe...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Hello fellow JF members. I dropped out of School Its Not A Joke. Its almost a year now since I dropped out of school on the Early Days of My Secondary Education i.e Form 3. Its the most crucial...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Tupo kwenye basi na jamaa angu tumetulia tunatoka shule jirana kupiga michezo, makelele kama yote ya wanafunzi maana tulishinda. Anakuja binti anamwambia mshikaji hakika leo umenfurahisha sana...
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa...
1 Reactions
0 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…