JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hasa za kwenda makwetu huko mbagala huko ndani ndani maana ndipo tulipo , na tunako ishi . Dah aseee nyomi lote hili hapa gerezani daladala stand , just dah ahahahah aseee , na mvua hiii Oh...
1 Reactions
1 Replies
692 Views
Naombeni msaada kuhusu mazingira gani mazuri kwa kujisomea kati ya kupanga au kukaa hostel za chuo ili kupata matokeo chanya? Tukianza kwa gharama, nasoma chuo ambacho hostel zake ni laki 4 kwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Inawezekana vipi Hawa Swansea wanatufunga Man United kwa Mara ya tatu mfululizo Na serikali ya CCM inaangalia tuu?... Tunataka mabadiliko
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara ana v8,mara yuko kwa Dadake amekataliwa na demu , mara Ana range, mara anatafuta fundi gari inagongagonga dah acheni uongo wadau mmezidi. Kwa wanao wafahamu watakuwa wamenielewa
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mabaharia wenzangu najua mtakuwa mmenielewa sio lazima mpaka tupelekwe na Upepo wa Kisulisuli![emoji14][emoji13][emoji39][emoji39]
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Dalali wa kazi ambaye yupo Morogoro mjini nitafute 0712650183
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kwenda kusali jumapili hii kwenye ilo kanisa.
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakandarasi watakiona cha moto. Jamani uniform za askari wetu zinapendeza..
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa ni kwa ajili ya wale wanao tumia social network eg.jf, Facebook, whtasap, insta etc 1:kujifunza technology 2:kupata marketing connection za biashara 3;kupata marafiki na life mates...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana? Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Hamjamboni. Went uelewa watusaidie TAFSIRI ya maneno hayo!
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi Ollachuga Oc as a big fan of Chelsea and Mtiba shugwa ya Tanzania napenda kujitakia kheri ni Siku yangu ya kuzaliwa. Miaka 25 iliyopita mama alileta mtu muhimu sana duniani ambaye ni mimi...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Nimeamini kwa nini ukiitiwa mwizi unauawa sekunde moja, Nimeibiwa Computer aina ya Toshiba dynamic setelite L20, simu Samsung galaxy grand prime na pesa ndani yaani nimepandwa na hasira balaa...
2 Reactions
84 Replies
8K Views
Siku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake...
3 Reactions
120 Replies
14K Views
Heri ya siku ya Baba yetu wa taifa wanaJF Vipi pale umemaliza shule O-level/advance then umefeli. Wenzio wanaenda/wapo/wamemaliza chuo. Unajisikiaje? Au unajisikiaje pale unaulizwa na manzi chuo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Local za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ... 1.Active man 2.Dark Fever. (Kama zipo nyingine mtaongeza) OG perfume Worldwide za Bei ghali . Unaweza tumia ...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april. Kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo nataka nione kitu gani ushawahi copy..so just comment kitu cha mwisho ulicho wait IGA.... Mimi tayari nishaweka changu πŸ‘€β˜πŸ‘†
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…