JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni kwamba kuanzia sasa…. Nikiwa naongea na Mtu yoyote Kwanza namwambia azime Simu yake Nikiwa nazungumzia mambo ya Siasa na Mtu namwambia Kwanza azime Simu yake Nikiwa namtongoza Mke wa Mtu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Let's share! Weka link ya uzi ama screenshot ya comment!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Pongezi kwa waanzilishi wa kampeni ya usichukulie poa Nyumba ni choo. imekuwa kama mazoea watu kutoyapa kipaumbele mambo yenye umuhimu kwenye maisha ya kila siku na kuona ni vitu tu vya kawaida...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23] Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41] Haya turudi hapa[emoji855][emoji855] Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada...
13 Reactions
156 Replies
11K Views
Ujumbe kwa wanaume: Mkeo akikwambia nipe dk tano nijiandae tutoke, my brother go to watch news in your sitting room. Ujumbe kwa wanawake: Mumeo akikwambia nipe dk tano nitakuwa nimeshafika...
5 Reactions
7 Replies
973 Views
Jamaa alikuwa kwenye safari ya kikazi mkoa ambao ndio ukweni kwake. Alikwenda kuwasalimu wakwe akiwa kwenye msafara na wenzake. Kama ilivyo ada ya Kiafrika wakwe walimsihi aende akawasalimie...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi! Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
😩😩wazee hiyo ni itel 1408 nimeiflash lakin saiv haisomi laini msaada kwa mwenye kujua labda akanipa link ya firmwere
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tutoleane ushuhuda hapa wadau kutokana na mazingira yanayotuzunguka maana nimeshuhudia watu wengi wakilalamika muda mrefu kuhusu mambo hayo,Huyu"Anatafuta wembamba muda mrefu haupati huyu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
I happened when pastor brought in a DNA machine in the church. No woman was left behind even the pastor’s wife.
1 Reactions
2 Replies
467 Views
Wakuu embu tukae kikao wanaume wa mikoani tuangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia wanaume wa Dar, maana hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Ziku zinavyozidi kusonga nao wanazidi kuharibika. Karibuni
1 Reactions
6 Replies
824 Views
Wasalaam wakuu, Hatimaye nimerudi tena baada ya kimya cha mwezi mzima. Natumai mnaendelea vyema na shughuli zenu hapa jamvini na hata za nje ya jukwaa. Katika mwezi huo mmoja niliokaa kimya...
106 Reactions
711 Replies
38K Views
Hello forums Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo...
3 Reactions
95 Replies
6K Views
Binafsi napendezwa na kuvutiwa na hii Couple ya THE BOLD na NIFAH hapa jamii forum mpaka nashawishika kuwajibu na kisha kuwaenzi hawa maicon wetu kwa mapenzi motomoto na mubashara wanayotuonesha...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi? Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo...
18 Reactions
202 Replies
31K Views
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner...
2 Reactions
161 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…