Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
HII NDIO TASWIRA YA SIASA ZA TANZANIA, UNAAMBIWA KATIBA INAFUATWA, MARA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UPO, MARA UHURU WA FARAGHA UPO, MARA OOH UHURU WA MAONI NA KUSIKILIZWA UPO. ILA JARIBU UONE...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana na nimepitia mengi katika maisha yangu ya kimahusiano. Nimekua na kila aina ya wanawake tangu nilipokua kapuku mpaka leo naweza kwenda 4ways na kulipia bill...
Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
Aisee katika pita pita zangu naona watu wanajaribu kumfananisha Scofield na Professor sasa Najiuliza hawa wamevuta bhangi ya wapi??? Maana scofield kile kichwa Kingine yani series ya Prison break...
[emoji121]
AJE AJE WAZZEIYAH?
HAPA KITAA F'LANI CHA MIGO_PIPA KUNA MANZI 1 NI DENTI YA MAKOLEJI HUKO MOSHI,
KAJA KUMDEKU SIS YAKE AMBAYE TUNACHILL APATIMENTO 1
MOKO ILA ROOM ZINADIFA.
KUMCHABO...
Baada ya mihangaiko ya week Leo naamini umepata wasaha wa kupumzika ,wapo ambao wapo nyumbani,wengine bar, wengine kanisani wengine wamelala toka asubuhi wengine vijiweni
Mwenzenu toka asubuhi...
Yes....zamani ilikua dar sikuhizi chipsi ni chakula cha taifa nendeni arusha,moshi,mwanza,mbeya,dodoma,tanga,zanzibar, singida bukoba (hiyo mikoa nimeitaja maana nimeshafika) muone watu...
Daladala Ni Usafiri Nnao Tumia Kila Siku Kwenda Kwenye Mihangaiko Yangu. Basi Huwa Nakumbana Na Matusi, Dharau Na Kejeri Toka Kwa Baadhi Ya Makonda Wa Daladala. Hasa Pale Mkipishana Kauli Iwe...
Habari Wana JF
Nimeona leo nitoe katika kile nilicho kitafiti kuhusu makabila yetu hapa nchini,Tanzania.
IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYO ONGOZA KUWA KATIKA TASNIA YA UALIMU WA...