O...! Oi,,Inakuaje wajuba humu ndichi?natumai mko Echu kabisaa,,niache perepete mingi acha nisololoe direct kwenye topic,,Juzi(Ijumaa)Tulianza rasmi mitihani ya Second semester chuoni yaani...
Wakuu hv inakuwaje ukienda club kupata demu rahisi sana. Nimeshuhudia club nyingi nilizoenda ukigusa tu tayari. Hawa watoto wa kike kama wamechanjiwa...
Hello guys habari za huko uliko!
Leo ni tarehe 09 June ambayo katika miaka kadhaa nyuma iliyopita nilizaliwa, napenda kumshukuru Mungu, wazazi wangu, rafiki zangu na wana jamii forums wote kwa...
Toa sress kidogoo!
Wanaume oyeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mme na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri.Ili kumaliza ubishi,wakaamua...
Wewe ukitaka kujua wanawake/wanaume wangapi unepita nao hadi sasa na umejiunga JF zamani anza PM ya kwanza kuja juu.
Ukitaka kuwajua kwa picha zama dropbox kama unayo.....kama haufuti.
Ingia...
Walah, Mondi jifunze kwa huyu jamaa, ukweli mchungu yeye ndo kakubeba huu wimbo. Toka umeanza kuimba huu ndio wimbo wa pili kuupenda, kuudawnload na kuusikiliza, wa kwanza ulikuwaga "NITAREJEA"
Whether ni kipara au kipala, salamu kwa wale hasa ambao wako chini ya miaka 30 lakni nywele za kichogoni na mbele zineisha au kudhoofika.
Tuko pamoja katika hili,, usipoteze muda huwezi kutibu...
Ndugu zangu wa Morogoro tujuwane hapa
Wale wa kihonda, mafisa, kilakala, kichangani, mwembesongo, mafiga, chamwino, mji mpya, mazimbu, mkundi, azimio, na mitaa yote nilioisahau
Ndugu zangu wa Morogoro tujuwane hapa
Wale wa kihonda, mafisa, kilakala, kichangani, mwembesongo, mafiga, chamwino, mji mpya, mazimbu, mkundi, azimio, na mitaa yote nilioisahau
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Karbun kwenye intavyuuu leo tunaenda kumuintavyuu kaka yetu bak wa jukwaa la siasa,
Utaratibu kila mtu anaruhusiwa...
Ukitaka upate chochote kutoka kwa mtu unaehisi unampenda pana vitu viwili vya kufanya.
1) JIPIME UNA HAKI YA KUPENDWA NA YEYE
Mapenzi ni nguvu ya uvutano wa kihisia . hayachagui wala hayabagui ...
*NAWAKUMBUSHA TU!!!*
*Ni bei ya.......*
1. Sato kilo 1
2. Kuku 1 wa nyama
3. Kilo 1.5 za nyama ya ng'ombe
4. Sukari kilo 3
5. Donna kilo 6
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4...
Naam, naona vitu mbalimbali vinakatazwa. Natumaini kwa kizazi kijacho hawatajua nini maana ya Rambo wala viroba.
Hivyo naishauri serikali vitu hivi viwekwe Makumbusho, natumaini vitaongeza pato...
Wanaume wooote wa Jamii Forum tukutane hapa kubadilishana mawili matatu na kujadili mambo yetu ya kiume,
NB: Wanawake nyie kuweni ma observers tu, Msichangie chochote humu