Wafanya biashara wanajitahidi sana ili kumaliza mifuko ya plastic kabla ya tarehe moja...
Nimeenda dukani kununua vocha ya jero nikawekewa kwenye mfuko..[emoji1787][emoji1787]
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.
Ulanzi kwa sana siku...
Leo nimeamua kushea nanyi wanajukwaa ,hadithi fupi ya jamaa yangu Baba Peter na ningependa kwenye uzi huu atambulike kama Baba Peter.Kwa kifupi baba Peter ni mtu wa masanga/pombe/ulabu na...
Leo nimeenda dukani kununua vocha ya jero.si muuzaji akaniwekea kwenye rambo la 200!!!ππ.badae kidogo nikamtuma dogo sukari robo,na yeye akafungashiwa kwenye vifuko vya Mia Mia vitatu.ππππ
πππππππ.
Mko kidato cha nne, headmaster anawaambia St Nicholas imetioa full scholarship kwa mwanafunzi
atakae pata alama za juu kuliko wote.
Unafahamu kuwa Allan ni kipanga kuliko wewe. Allan akiwemo...
Matajiri wasinge kufa wala kuzeeka wala kuugua. Ninamfikiria Steve Job wa Apple π ameondoka na dream zake
Some of his quotes
βI want to put a ding in the universe β.
βDesign is not how it looks...
Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa...
Jamani washikaji nina swali nataka niulize humu Jamii forum, eti Umetoka kwenye mizunguko yako ya kila siku ya kutafuta mkate , wakati uko njiani kurudi maskani , unakutana na tukio la ajabu...
Vijana watatu wasomi wa Chuo Kikuu kimoja walitoroka mtihani kwa sababu hawakujiandaa.
Wakaja na mkakati wa namna ya kumdanganya Mhadhiri; hivyo wakakubaliana wajichafue kwa kujipaka Oili chafu...
βMost of the Enemies you have are people you once helped in life β
β Wengi wa Maadui zako ni wale Watu ambao ulishawahi Kuwasaidia Kimaisha β
Ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE nasemaje kwa hii β Kitu...
Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app...
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu...