JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo vipi vijana wenzangu, Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali.. * Uliijuaje JF ukiwa na umri mdogo kama huu maana member wengi wa...
13 Reactions
244 Replies
16K Views
Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na majukum ya kitaifa watanzania kwa masikitiko makubwa wiki hii imekuwa ni wiki mbaya sana hili lipo wazi baada ya taarifa ya CAG kuwa tabled bungeni na Assad kuelezea mambo jinsi yalivo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Unalikumbuka hili pambio? "Zilieatokeeni (pa pa pa[emoji122] ),zilizogawanyika (makofi tena) kama ndimi za moto,zilizojawa roro mtakatifuuuuuuuuuuu Chorus Zilitiririkaaaaaaa...
16 Reactions
145 Replies
15K Views
Woyoooooooooo Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line? Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na...
21 Reactions
122 Replies
8K Views
Happy easter wanabodi naona mashamlashamla kila kona hadi kwa wapenzi pia. Kwa wale wenye bebz zao leo wanatusumbua sana sio kwa daladala, sokoni ni kero tupu simu znapigwa jaman. Kwa wale ambao...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu haya maisha bila kushikwa mkono na mtu akuchomeke kwenye system fulani ya mzunguko wa hela kwa kweli inakuwa ngumu Sana kuzikamata.ukisema ukomae Sana kivyako vyako utapata taabu sana...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sikukuu njema mdau wa jf. Ni watu wachache sana miongoni mwetu tunaoweza kuishi tukiwa pekee pamoja na kuwa ni watu tunaopenda kukaa peke yatu na kupenda hali hiyo. Kiukweli tuliumbwa kwa ajili...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga' 1. Mwanaume kupaka super black 2. Mwanaume kuchora tattoo 3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako...
6 Reactions
107 Replies
10K Views
SAIKOLOJIA NYEPESI TAMBUA MAANA YA MANENO AMBAYO MKE WAKO HUTUMIA. 1. "Sawa bwana" (fine). Hutumiwa na mke kumaliza mabishano nawe. Akisema hivyo ujue anahitaji unyamaze. 2. "Dakika tano tu"...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wapendwa hongera kwa juma la pasaka. Kweli dunia inabadilika kwa kasi kubwa. Miaka 10 iliyo pita tulizoea kutumiana kadi za Eid, Easter, Xmas no. Tulinunua kadi kwenye stationary na kutuma kwa...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Heri ya Pasaka ndg zangu wana JF Bila shaka wote ni miongoni mwa watu tunaotumia sana mitandao ya kijamii kuwasiliana Mitandao hii inachangamoto lukuki, mitandao hii imevunja mahusiano (ndoa za...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama desturi yetu ilivyo watanzania zinapokaribia sikuku au kipindi cha sikuku hakiwezi kupita bila kupigwa mzinga tuu Kwa upande wako hebu tuambie ni mzinga wa aina gani uliopigwa sikuku ya leo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Enyi nduguzangu, natumai mu wazima kabisa waafya, Kwakweli nduguzanguni wale ambao hatuna hata wakutualika ili tupate kushiriki furaha ya sikukuu ya pasaka tukutane hapa ili tuweze kujua lipi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nikiwa mdogo nilikuwa nasikia raha kujilamba Kamasi, hadi Mama alikuwa ananigombeza. Weeee mtoto acha uchafu, Kwanini unalamba makamasi???. Basi taratibuuuu na nyanyua t-shirt au shati langu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanaume ambaye anashindilia kweli kweli na anatekeleza vyema Tendo zima la Ngono na anamfikisha Kileleni kabisa Mwenza wake basi ni lazima tu iwe isiwe kuna muda ' Atajamba ' tu japo huo ' Ushuzi...
3 Reactions
21 Replies
10K Views
Nimesoma uzi wa uyu mtu kuwa kuna video yake ya uchi lakini wana jamii forum wamegoma kuituma ata kushare link. Naomba kujua anajishugulisha na shughuli gani pamoja na username yake ya Instagram
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Siku hizi nyumba ni sehemu ya fashion kama tu nguo. Tupia na wewe. huwa naota hii. Chini Kulia living room, kushoto study, Dining, jiko na 1bdr. juu 3bdrm. Sijui milioni ngapi.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama upon maneno ya Karibuni na hii night club njoo tuonane hapa the great park Leo natAka kuona jinsia pombe Zina ponza me watu.Q1q uzuri signa dozi ya kunywa Mdogomdogo mpka kreti libaki empty...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi kuna faida nyingine ya kuwa na kitambi tofauti na ile ya kufutia kioo cha Simu?
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…