Daahhh si nimetuma picha ya manzi yupo uchi kwenye grupu la directors.
Kwa haraka niwahi kufuta nikajikuta ni delete for me badala delete for everyone.
Imebid ni left grupu tuuu
Sent using Jamii...
Habari zilizopatikana Dodoma ni Kuwa Rais Bashir wa Sudan katuma ujumbe kuwa anajuta kupuuza ushauri wa kumuagiza na kumuajiri Kamanda wa Polisi Dodoma mzee wa "Watapigwa wachakae" ambaye...
Ebwana kipind nipo mdogo nlikuwa nataniwa *NYITWE* kutokana na kichwa changu kilivokuw kikubwa (nyitwe kwa kisukuma ni kichwa kikubwa) sasa tani hili nlikuw nkitaniwa nalia sana ama nazila kula...
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3...
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO:
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
Naanza
Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana
Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana...
Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..
Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa..
Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo..
Shadeeya -...
Jana nilikaa na mwanangu wa miaka 4 na ushei hivi,nilizungumza na kucheka nae kitoto,niligundua anajua mambo mengi ya ulimwengu huu wa digitali,likanijia wazo la kumuhamisha chumbani kwangu ili...
Kupitia hizi picha,kupitia huyo alieko kwenye picha..?
Usimdharau mtu kwa hali anayopitia.huijui kesho yake atakuwa nani(picha ya kwanza)
Nawe unaetafuta usikate tamaa,kesho yako...
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma...
Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani.
Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu...
Kama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa...
Habari wadau poleni kwa shughuli ya kujenga viwonder.....
Ivi ni kipigo gan ulichowahi kupigwa heavy na ukaona kabisa hiki kipigo siku stahili nimeonewa
............ ..... . ...
Kampani yako ni watu wa aina gani?
Kwangu kwanza kabisa kuna mshikaji wangu mmoja hivi napiga nae dili za kiepe yeye ndio huwa tunakaa kubadilishana mawazo juu ya biashara changamoto na jinsi ya...