*103 passengers and only 40 meals was loaded on a Bombay to Canada flight*.
The airline had bungled, and the crew was in a fix. However, one smart flight attendant had an idea.
About 30 minutes...
*103 passengers and only 40 meals was loaded on a Bombay to Canada flight*.
The airline had bungled, and the crew was in a fix. However, one smart flight attendant had an idea.
About 30 minutes...
Waafrika tuna uchawi wetu wa asili wa kuzuia mtu asifanikiwe au kumuondoa kabisa duniani au kumfanya msukule wa kukuzalishia hela.
Tatizo letu tunautumia vibaya pale unamfanyia ndg jamaa na...
Nakumbuka nlikuwa nmemaliza kidato cha nne.baada ya ku browse sana kitaa nikaona bora niwe hata njagu. Basi nikaenda mafunzoni kilimanjaro.
Siku hiyo walikuwa wamepika maharagwe na ugali watu...
Vichwa vya habari
1. Wanafunzi wengi wamefeli mtihani wa kidato cha nne
2. Wanafunzi wengi wanao hitimu vyuo vikuu wanafeli kupata ajira
Walio feli wanalia nitakuja kufanya nini mim bila elimu...
HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE
ALIEFAULU KIDATO CHA NNE..
SAA 12 asubuhi.
BABA;- baba, unaamka sasa hivi au unalala lala
kidogo..
MTOTO;- Hapana baba nimechoka
ntaamka saa 5 jana...
Toka zamani nimejikuta nikiwa more interested kuishi pembezoni mwa ziwa au bahari. Muonekano wa maeneo hayo yanapendeza machoni na hunifanya nijihisi kuwa comfortable zaidi. Kiukweli nawaonea wivu...
Baada ya kuona udj unalipa. ila kwa kiasi chake..
sasa nimeamua kuresit mtihani..kuanzia sasa. na mwezi wa kumi na moja ntafanya "pepa " lengo langu ili niwe sound engineering asiye midosho bali...
Katika kile kinachoelezewa kama kuichafua serikali, mpaka Lissu kuitwa kichaa anaetakiwa kuwa Mirembe, kichaa ambacho Wabelgiji wanaomtibu na kumuona kila siku wameshindwa kukigundua lakini...
Wema na Amber Rutty wametuburudisha lakini wametuomba *msamaha* Naona Taifa stars wapo kimya mpaka leo, dharau hizi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Unahaha kuoga,kutupia pamba,manukato na vidani lakini wewe ni mchafu wa mawazo na tabia.
Hata kama utaita malaika bado hawatakusaidia.
Mjini huendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nombeni mnijuze signs katika mwili au tabia ambazo ukiziona kwa mtu ujue anatumia sana mkono wake kufanya uzinzi,Teja wa kale kamchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app