JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jingalao MSAGA SUMU stroke Pohamba Billie
2 Reactions
6 Replies
2K Views
..Ndugu zangu baada ya kutafakari na kujipima mimi na mai bebi Preta ni kwamba nitagombea urais km si urahisi ..timu yangu itakayonisindikiza kwenda kuchukua fomu ni. Mr Rocky.. Asprin...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri...
15 Reactions
200 Replies
10K Views
Kati ya haya maneno unapenda uitweje na mpenzi /mme wako. Mama Mummy Love Honey Darling My.. Sweetie... Mahabuba Kipenzi Mume wangu Mke wangu Baba J Mama J Mimi napenda kuitwa ...mkalia ini...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Wadada wengi ndo hulipenda, binafsi hua nashindwa kujibu , kwamba nimwambie nini. Wanaume mnalijibu vipi hili swali na wanawake mnakua mnataka msikie nini? Shukran
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
12 Reactions
174 Replies
14K Views
Unajua ukiona Mwanaume JF jua ni mtu mwenye uwezo mpana sana. Ofcoz wachache ndo wazinguaji ila asilimia kubwa ni Gentleman. Hivyo, ewe dada, ukipata Dume huku au ukiona kuna dume linakuhitaji...
20 Reactions
268 Replies
11K Views
Mbwembwe za fb Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Huyu mdau kapigwa picha na mtu aliyeita Taxify South Africa, jamaa katokea na taulo, halaf cha ajabu anafanana mno na Besigye. Kama si yeye basi duniani wawili wawili walahi :D:D:D:D:D
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
71 Replies
4K Views
Ni miaka mingi imepita tangu niondolewe hili pulizo. Najiskia fahari sana kufanyiwa hii huduma bila ganzi. Niliumia ila leo najivunia. Ilikuwa asubuhi yenye baridi kali. Kama saa kumi na mbili...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Wadau em nisaidieni Mimi ness nataka nihame toka hospital ya chuo kwenda hospitality za halmashauli,nafanyeje wakuu??? Msaada kwa anaejua
0 Reactions
0 Replies
867 Views
*Finally, Just about 72 hours to the end of 2018.* To My Creator = *I say Thank You.* To my true friends = *I appreciate you all.* To those who showed me love = *I'm grateful.* To those who hurt...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Unakuta wanaume wamejazana wanakula vichips na vikuku vya KFC, hivi huwa mnashiba kweli? Au huwa mnaenda kuuza sura kwa ajili ya kupata picha za Instagram?
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Leo nimezaliwa tena Mimi Pancho boy.. happy birthday to me!!... MUNGU niongoze mimi Mwana wako..
2 Reactions
2 Replies
478 Views
Ni kupoteza asili yetu au ni kwenda na wakati?
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Mojawapo wa zile ngoma za asili maarufu ni hizi: Gobo gobo Tokomile Mganda Bagika ....................
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Mwanaume anaweza kufika sehemu ya ugenini na asipate tabu ya kuishi kwani akishajipatia binti na akatambulishwa kwao basi hao ndo watakua ndugu zake hata iwe wapi. Yaani utawaacha ndgu zako huko...
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…