JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ilikuwa ni jumapili tulivu,isiyo na pilika pilika jijini Da'slam,hakika ilikuwa ni j'pili iliyohitaji sehemu tulivu ili kuondoa msongo wa mawazo na pilika za hapa na pale. Majira ya mchana,natoka...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Download game la Fifa hapa Download game la Fifa19 hapa baada ya hapo fuata maelekezo ya kwenye video Youtube hii Ili ulifanye licheze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Picha hii itakusaidia uwe motivated kuwa mtu anayefuata sheria popote ulipo. Ni hayo tu. Tafakari
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kaaazi kweli kwel
0 Reactions
8 Replies
1K Views
'Usukumani' mwanamke ndiye anayeta mali nyumbani (ng'ombe) wakati anachumbiwa na kuolewa, lakini kijana wa kiume hutumia ng'ombe walioletwa na dada yake kwenda kuolea
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 26/10/2018, Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow bosess, huwa napenda kusikiliza redio mida ya kuanzia saa 5 asubuh had 12 ivi jion na saa 4 usiku mpaka 5 ivi mda wa kipindi cha redio kizuri nachokijua ni BBC saa 12 radio one mda wingine...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
*Dear Anko,* Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wakuu , naomba mnisaidie vocha ya elf mmoja ya Airtel. Asanteni Kwa ukarimu wenu.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Moderators naomba msiufute uzi huu haufanani na mwingine wowote na unajitegemea. Tukumbushane tabia yako wakati uko kwenye ujana, ulipokua sekondari au shule ya. Msingi... Au hata kama Sasa bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
On this special day I wish you all the very best, all the joy you ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrw and the days to come...may you have a fantastic birthday and many more...
15 Reactions
269 Replies
11K Views
Salute bosses In life kila mtu ana jambo ambalo analiogopa sana na yupo tayar kwa kulizuia at any cost kama (kama inawezekana kulizuia).. Down here is the list of my biggest fears 1. To lose my...
2 Reactions
17 Replies
999 Views
Tarehe kama ya leo miaka mitatu iliyopita tulichagua maisha haya, tunayoishi sasa. Kila mtu abebe msalaba wake kwa uaminifu
1 Reactions
8 Replies
997 Views
Aman iwe nanyi. Kama kwenda mbingun wengi hawataenda aisee maana lazima tu ucheke. KWa vyovyote vile kucheka hakuepukiki kabisa aisee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nilikuwa mahali huku mkoani naangalia mechi ya Simba na Alliance....nikaagiza KVant na Coca cola nikamuomba Mhudumu aniletee pia limao iliyokatwa katwa na barafu ili kitu yangu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
habarini wakuu poleni na majukumu kuna kitu nafikiria lakini sipati jibu kauli swali ninalojiuliza kila siku ni kwamba hivi wale hot pot family nje kula,kujazachoo na kulala huwa mnawaza nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume wa zanziba na Tanga, hawana.tofauti, Wazembeee, alafu sasa waoga mpaka kulala peke yao vyumbani, Mimi Bilionea Patel
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HAVE A GOOD LAUGH!! Ili iwe funzo kwako na wengine wenye tabia kama zako ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE: 1. Kosa la kumtoroka mlevi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu! Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…