"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu...
WAJUE WANAWAKE 10 WAJINGA.
SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAKWAZA KWA POST HII..
(1)..Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo NIMJINGA.
(2)Anaetoa mimba kisha analala na...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kesho Nina safari ya kwenda iringa safar Yangu itaanzia Dodoma saa kumi na mbili asubuh. Maombi yenu jaman nifike salama na nirud salama.
Moyo wangu unasita sana kwa hii...
1.Mnakatiwa katiwa mboga za majani magengeni kwani kazi hii hamiwez wenyewe kama wenzenu wa mikoani?
2. hali katika mabucha pia si shwari mkienda kule mtaomba mkatiwekatiwe nyama hata kwa kutozwa...
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka...
Bar zenye wahudumu wakiume huwa poa sana. Ukikaa kaunta ni full stori bila unafiki, stori waziwazi.
Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kilomita kumi kufuata bar ya jamaa yangu. yeye ndiyo alikuwa...
Siku moja wakati natokea kwenye mishe za hapa na pale pande za kigamboni nikapanda gari la kigamboni kwenda machingacomplex kwenye gari kama unavyoelewa kwenye magari ya machinga complex kuna...
*Jamani kuna skendo zimesambaa mitandaoni kua mimi ndio nilio muona mo,,,Nakanusha kua hizo skendo ni zauongo ni watu 2 wanataka kunigombanisha na watu wanao...
Kuna wauza sura waleee wasafiii ...na wale wa piga mathee ....wapiga kengeree ......waanzisha nyimbo shulenii ..waandika notees ubaoni....mamodo wa shule ...walimu wanafunzii ....N.k tuwapee hi...
Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara...
Kutokana na tamaduni na imani zetu zipo nyama za wanyama mbalimbali ambazo tumekuta haziliwi na wazazi wetu na sisi tukajitenga nazo ingawaje sehemu nyingine katika nchi kama China zinaliwa.mfano...
Nimeukumbuka sana huu mchezo[emoji23][emoji23] siku moja tupo uwanjani, mpira baada ya kutoboka tutahamia kwenye huu mchezo, na mimi nilikuwa kibonge hatari yaani kukimbia ni mtihani
Mchanga...