Jf ya sasa imebadilika sana kwa mfano;
1, MMU limekuwa la visa vya mapenzi vya kutunga and not real stories
2, Chit chat imekuwa na story za kubuni
2, Jf Doctor imekuwa ya mapovu tu hakuna...
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki"...
Nimepata mpunga wa Million 6 hivyo nataka nikatumie hata robo yake kupunguza hasira za kutekwa kwa kijana mwenzetu.
Wale wazee wa viwanja karibuni sana
Deadbody,
JamiiForums.
Mzuka,
Yani furaha yangu humu nikimchokoza mtu kwa kureply comment yake akajibu kwa jazba yani nafurahi hadi narukaruka yani na infilict pain flan hivi na kuwawini kisaikolojia hasa kwa hawa...
Ushawahi kugegeda huku mbele yako au pembeni yako kuna dressing table?
Hii hasa ni kwa wanaume kwani wanawake wengi wanapogegedana hufumba macho.
Kwa ambaye amewahi atakubaliana namimi...
Habari za mihangaiko wakuu
Kwanza kabisa niwape pole wanawake wa dar kwasababu kila uchwao hali si hali kunako 6×6.
Nimeamua nitumie haka ka muda kadogo niliko nako kuwapa pole sana kina dada...
Ule msemo ulokuwa umezoeleka kwamba laki so pesa, naona hakuna maana yake tena, ukitaka kujua laki ni pesa jua kwamba kwenye laki kuna 10,000 Mara kumi, je kwa sasa unayo hata 10,000 moja?
Wanao...
Kwa upande wangu huanza na MMU kisha chit-chat baada ya hapo hurudi love connect na kuelekea Jukwaa la siasa nikishamaliza hilo naingia jukwaa la ma-star kisha hoja mchanganyiko namalizia na...
Tuchezeni mchezo wa maswali.
Toa swali lolote kati ya Hisabati, Kiingereza au Kiswahili kisha mtag/m-mention member yeyote utakayependa aje akujibie swali lako, nae akishakujibu atatoa swali la...