Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku...
Kuna adhabu nyingine unaipata unashindwa kujua kabisa kwanini nimepewa adhabu hii hasa kipindi cha utoto kuna adhabu za kionevu sana. Mimi za kwangu ni hizi kila nikizikumbuka naonaga ni uonevu tu...
Hivi arusha wapo jf members wa arusha ambao ni mahandsome very handsome ?
Kama mpo comment here if your very handsome only .
ila kama unaweza tokelezea poa ila hii fulsa ni kwachuga tu.
Nafunga account yangu kwa muda masomo yapo hectic sana .
So kwaherini nitarudi mwakani .
Heri ya xmass na mwaka mpya .
Dah nimechoka kuandika humu.
Nimefurahi kukutana na watu napenda maendeleo...
Habarini za muda wadau.
Mimi nimekuwa nikisikia tu mara ooh wanaume dar wanaume wa dar ila sijajua hao wanaume wa dar ni kina nani?
Ni wale wazaramo na wandengereko wapenda vigorodo?
Ama...
Nipo hapa kijiwe fulani nimekaa namsubiri mgeni wangu ashuke kwenye daladala basi stori za hawa jamaa zipo hivi
Basi mmoja anawaambia wenzake hivi:
Mwanaume acha kuzubaa ukiwa mjini MKEO ATAKUWA...
Weka listi yako ya nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.
Mimi playlist yangu ni hii..
>> Mr Eazi -Hollup
>> Mr Eazi -Sample you
>> Dj spinal ft Mr Eazi -Ohema
>>Designer -Panda...
katika kesi nyingi za ugomvi wa wanawake wanapenda sana kudharirishana kwa kuvuana nguo.
Wanaume hata wapiganeje huwezi kuona wanavuana suruali.
wamama na wadada vipia hapo,
Huyo mwenye kanga...
Wale waoga wa kutembea usiku bado npo.mie nilisha acha kitambo ilikuwa nikitumwa usiku dukani yaani inakuwa kama wajatuma mtu wanakuwa wametuma felali ni balaa
Nachukua nafasi hii kukutakia Birthday njema naomba Mungu azidi kukubariki akuongoze katika kila jambo ambalo utakuwa unafanya ili uweze kufanikiwa pia akusaidie ili uweze kuona miaka 100 ijayo...
Bi mkubwa kapoteza kadi yake ya bima sasa mwezi mzima namzungusha leo kanikomalia nikamchukue tushugulikie tumalize
Naenda mfuata namkuta yuko na rafiki yake, eti anamsindikiza,sasa hizo stori zao...
Katika vitu vyenye majina mengi hapa bongo na duniani basi ni fedha!Naweka machache hapa,hebu nawe ongezea tuone maajabu ya fedha!
-Pesa
-Mkwanja
-Mapene
-Mshiko
-Noti
-Mchele
-Mavumba
-Ngarawa...