JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ushawahi pitiwa kitandani ukakojoa acha hiyo wale kuota usiku mpaka unaamua kushare ndoto kwa kuongea huku umelala .mie niliota tunapigana acha mwenzangu nimpe kipigo cha adabu alikimbia...
0 Reactions
6 Replies
764 Views
Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki. Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee... HOTEL ZA KITALII BWANA!!!! Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa: Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with...
10 Reactions
30 Replies
8K Views
Zamani ilikuwa mwanamke akipika Chakula halafu mumewe akakataa Kula kwasababu hajakipenda walikuwa wanalia sana... Lakini siku hizi mwanaume akikataa Chakula mwanamke anakichukua mezani anarudi...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Swala hii itapigwa leo saa 6 usiku na wazee wenzie ,kaniambia swala hii huwa ni ya kushitaki kwa mungu juu ya kiti kilichopotea na kulaani aliehusika kwa njia yoyote hata kama alisaidia kununua...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Waziri wa maji sudani kusini
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Filamu Zetu Bado Zina Enderea Naona Colesseum
1 Reactions
3 Replies
601 Views
Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Enzi hizo za sekondari....
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa... sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case. 1. Chameleon...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Huu ni uzi maalum wa kujibiana kinunda kama sehemu ya kufurahishana. Unaandika statement na unaandika ungependa wakujibu kama nani. NB: matusi hayatakiwi, kuna ban. Naanza... "Nina muda sijala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana. ....Miaka 10 bila...
30 Reactions
345 Replies
15K Views
Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu,kama kutunza siri rahisi kwanini usikae nazo mwenyewe? hizo ni lawama za bure kabisa!
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua, Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi, 1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji 2. Wengi ni wageni/ wapya humu 3. Wanapenda...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Ni kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa...
6 Reactions
239 Replies
14K Views
NIKWELI SISI SOTE WAKULIMA SHAMBA LA JILANI LIKIPENDEZA UWEZI SHINDWA KUTAZAMA NDIO UTARATIBU MZURI UJUE NI AINA IPI YA MBOLEA KATUMIA NAWAKATI MWINGINE UNAKODI NAWEWE KUJUA KAMA LIKO VIZURI
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea. Ningewaelewa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia. Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew...
38 Reactions
435 Replies
18K Views
ngoja kesho nikapime dna
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…