JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wengi mnoo mmekuwa mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa JamiiForums kwa kuwa naficha sura yangu sasa IPO hivii: Nimeamua kuweka picha yangu halisi...
9 Reactions
312 Replies
28K Views
tafadhali wajuzi mnijuze.[emoji16]
7 Reactions
118 Replies
9K Views
Habari zenu ndugu wenyenchi? Naam! Leo tena katika mada, Ndugu wenyenchi safari ya mada ya Leo inaanzia hapa: Mwaka 2010 nikiwa katika kazi ya ufundi wangu wa rangi kipindi hicho ndio nilikua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Niweke wazi kuwa nilishtushwa na habari nilioisoma mapema leo kwenye gazeti fulani.Baada ya hapo nimeumizwa kichwa kutafakari juu ya hili wadau naomba mnisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ulikuwa hujui Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno. Sifa zao Huwa hawacomment ila wanalike tu. Ni...
40 Reactions
557 Replies
26K Views
Habari zenu wanajamvi Nilifika hapa Dar mwaka jana kwa kazi maalum kwa muda kwenye kampuni yetu Katika harakati zangu za kijamii nilikutana na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana,na...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
*TOFAUTI YA YANGA NA JANGWANI SEC NI RANGI ZA UNIFORM ZAO TU NA JINSIA ZAO[emoji12]*
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Em semeni ukweli ili tuamini.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Duniani kuna watu wanachuki, wana wivu mpaka unayechukiwa unashangaa why? Kuna jamaa ananichukia kiasi kwamba hata nikisemwa kwa mabaya anapinga. Yaani kila kinachosemwa juu yangu anaonesha mi si...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
wakuu kwema.... Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje! tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui...
31 Reactions
647 Replies
26K Views
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema. Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela...
13 Reactions
103 Replies
8K Views
*WAHEHE MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA WAZIRI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MNAJIFANYA MKO BUSY NA MATOKEO YA YANGA*[emoji84]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata, kwa ujinga wako umesoma hadi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
At a wedding, I whispered to a person sitted next to me *ME..* the bride is ugly!! *PERSON..* if you dont mind, thats my daughter *ME..* ooh am sorry I didn't know you are the father...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watafiti wa afya ya uzazi Chuo Kikuu cha Milan Italia wamesema wanaume wanaokunywa chupa 1 ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku wana mbegu bora kuliko wasiokunywa na kuwa mbegu zao zina uwezo...
0 Reactions
6 Replies
978 Views
JF kila mtu msomi JF kila akili nyingi JF kila mtu usalama JF kila mtu ana Nyumba "" """" """" """ Gari """"" """"" "" alichelew ndege Ongeza na vingine.....
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hope you all mpo pouwaa..... Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
DJ Sepetu tumemiss live interview zako, je nini kimekusibu? Au kuna kitu kipya unatuandalia msimu mpya wa interviews? Lini live interviews zitarudi?
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka. Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili...
13 Reactions
129 Replies
10K Views
Sio siri tena ni dhahiri kuwa mwanamke hutumia sim au hushika sim mara nyingi kuliko mwanaume Matumizi ya sim kwa mwanamke yamekuwa ya hali ya juu na imekuwa ni njia sasa ya kuwasilisha shida au...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…