Amini usiamini hii hela kuna watu wameibetia,wakiamini kuwa ndani ya mwaka mmoja wangeweza kurudisha hiyo hela na kupata faida
Chezea mhindi,hiyo hela imeisha ingia mfukoni kwake,sasa wanasiasa...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui...
Kama ni wa chuo taja jina na chuo alichosom.
Kama ni sec tuone ni shule gani mtoto huyo alisoma.
Viongozi wote kuanzia
Rais,
mawazili,
wabunge na
MKUU WA MAJESHI(CDF)
Majibu ndio yatasaidia...
Mambo,
mi ni ke,ukweli wenyewe ni huu KWA MPENZ AU MCHUMBA AU MKE/MUME umpendaye kwa dhati kiharufu fulan cha mwili wake ni kizuri balaa.Hata kama atatoa nguo special zifuliwe hutochoka kuziweka...
Uliwahi kujiuliza kwa nini ATM machine hutoa kadi kwanza halafu pesa huja baada ya kadi?
Walotengeneza ATM wanajua hulka za binadamu! Kwamba binadamu akipata anachotaka anasepaaaa.... hakumbuki...
Wakuuu nijulisheni viwanja vya kula bata Niko Dar nimeingia jioni hiii nahitaji kulifaham hili jiji Lakini nitajiwe viwanja vyenye watoto wa Kari toka mikoa Ya Singida, songea, iringa, Moro...
Habari wakuu wenzangu..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Mi binafsi sioni faida wala ufahari kisa nimependwa na mdada kutoka kwenye mtandao huu.
Ishu ni kwamba hawa viumbe waliomo...
Haiwezekani mr Zero Iq hadi leo hana ata mdada mmoja huko Past Meridian (PM) wa kumliwaza ata kwa maneno matamu.
Wapi ;
Jolie Jolie.
demiss
Mama sabrina
Miss Natafuta.
Ata nyinyi mmeshindwa...
Babu mmoja aling’ng’ania kwenda mjini kwenye harusi ya mjukuu wake, pamoja na hali yake ya kiafya kuwa mbaya lakini alitaka hivyo. Alihudhuria na siku ya harusi baada ya sherehe alimuomba mjukuu...
In South African Parliament;
*Hon Madisha:* Half of people in this parliament ARE stupid!!!
*Speaker:* Hon.Madisha withdraw that statement.
*Hon Madisha:* I withdraw that statement. Half of...
Hivi ni kwa nini watu wengi hujigusa kwenye vyombo vyao na kisha kunusa kuna mshikaji mmoja nimesoma nae ulkua ni mchezo wake mpaka parade syo hyo tu mpaka mademu nshawaona sana sijui huwa...
Habari wana jamvi.
Mara nyingi hua naona picha za wadada ambao hujiita models mara nyingi picha zao ni chafu sana za utupu kabisa na wengi wao siku hizi wameiga tabia hyo cjui wameitoa wapi...
habari wakuu,
sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini:(:(..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha...
Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha...