Nimekaa hapa kibarazani na mbalamwezi hii nikasikia upande wa pili huko kuna watoto wanapigizana kelele
Yanguu,yanguu ....
Nikataka nijue nini hiyo basi nikasogea hadi walipo nikamkamata mmoja...
Salaaam.....
Wakuu katika pita pita zangu katika kwa wataalamu was dini nimekutana na hili..
Eti kwa kuya mtumiaji was muda mrefu wa internet kwa siku kuna pelekea mtumiaji kupata au kukumbwa...
Sultan ni rafik yangu kwa muda mrefu sana yan nimesoma nae chekechea mpaka darasa la 7 nikasomanae sekondar hapo ndio tukatofautiana yeye kaendelea na masomo ya juu mimi nikaingia kwenye mishe...
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ,nawaaga wanaJF wenzangu wote kuwa natoka nje ya family yetu hii nzuri ya JamiiForums kwa miezi 9 hii iliyobaki kuumaliza huu mwaka.
Nitawakumbuka...
Mimi kama mwanaume tena mwenye uthubutu kwa mara ya kwanza kabisa ningependa kujitokeza kutafuta new couple ndani ya jf tutakayo match nae vzuri, kigezo ni kimoja tu awe mcheshi asie na jazba...
aisee duh pm ya mwisho ilikuwa september mwaka jana. sijui sasa nikamchokonoe nani huko pm? hivi wenye uzoefu nani huwa anakuwa shapshap kujibu pm? fanya kumtag nimchokonoe chokonoe huko pm.
Hii tabia naona imeota mizizi huku JF
Yani member karibu wote wa jf wanajifanya wanatumia simu za bei mbaya Mara iPhone,sijui Samsung, Mara Motorola sijui Huawei na nyinginezo
Watu wa JF...
Wadau;
Nimewahi kwenda katika hospitali na kuandikiwa vipimo pamoja na dawa na wataalam wa tiba.Sina shaka na uwezo na utaalamu wao bali ninahoji iwapo ni busara kufanyan background check kwa tiba...
I bet you were a cute baby and everyone around fell in love with you immediately! Happy Birthday to the girl who has stolen my and relato heart!
You have been so wonderfull to me and to My best...
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo zangu.
Kwanini watu wengi wanapokuwa bafuni wakiwa na nguo ya juu na chini (suruali na shati) huanza na shati badala ya suruali?
Jichunguze wewe na mwenzi...
Watu wengine wajinga sana,
Jana nimekaa na jamaa mmoja siti jirani kwenye basi tokea tunaanza safari kutoka Dar ubungo terminal tunaenda Morogoro .
Basi Jamaa ananunua vitu anakula kula...