Wakuu leo ndio kumbukumbu ya Tarehe na mwezi wa kuzaliwa kwangu miaka 30+ ya kuzaliwa kwangu!Namshukuru Mungu kwa Mwaka mwingine tena,nashukuru memba wote wa JF tunaendelea kuwepo kulijenga Taifa...
Call the haters, call The list,nokia and east blah blah
Tel em the quen is back hahahaha there is no permanent sitaution at all .....mambembe is freee ....hahaha unstoppable is back...aiseee...
Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.
Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.
Hapo...
Heshima kwenu wakuu.
Kwa muda ambao nmekaa humu jf nmetokea kuwakubali zaidi baadhi ya watu na kutamani hata kuwafahamu nje ya Jf kutokana na michango na mada zao. Sio kwamba wengine siwakubali...
Kheri ya mwaka mpya wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kumbe ukikosa bundle la kuingia JF ndio utamjua rafiki wa kweli.
Kipindi ambacho nili ishiwa kuna marafiki wa kweli...
sikaange mbuyu ukawaachia wenye meno watafune. Do not roast baobab kernels and leave those who have teeth chewing (them). Don't start quarrels among other people (bv telling tales).
Usile...
Yani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na...
Ni matumani yangu kwamba humbu ndani wote hatujambo ila ikiwa yupo ambaye hayuko poa kiafya namtakia uponjaji.KWA NINI HOUSE GIRL ASIMCHUKUE MUMEO,,,?
Kwa kukaa kama Sanamu.
MUME: darl ninakikao...
Episode 03
Na mende msafi
Previously in jf talk garden
@deogaratius kisandu: acheni upumbavu nyinyi..mbona mna wivu sana nyinyi. Kwanza tokeni hapa kama hamuwezi kuongea vya maana ntamwaga meno...
Habar za jumapili wapendwa lengo la andiko hili ni kuwafahamisha ujumbe nilioupata toka kwa mh. mwakyembe waziri wa michezo kuwa anahitaji meche ya kirafiki kati ya timu ya bunge na wana...