wadau wa humu mimi sio mwenyeji ni wa juzi juzi lakini kuna dada napenda swagger zake Haki ya mungu...
kuna kapicha nakaona japo sikajali sana hako kapicha lakini aisee upendo unatoka kwa mungu...
Me nikikumbuka siku ya alhamisi kule shule ya Msingi kule Banana huwa nilikuwa nakerwa sana siku ambayo nimejitolewa kwenda mstarini (maana siendagi) halafu wale wapiga ngoma wanaanza kiherehere...
Hello WanaJF huu ni uzi maalum wa kutambua unatumia simu ya Aina gani??, Kwa kufanya hivyo utaweza kuwatambua wanaJF wanaotumia simu kama yako na utaweza kujiongezea marafiki kwa Uzi huu...
Wakuu mi nikiingia jf nakuwa kama chizi,hata kama na hasira vipi utanikuta nacheka peke yangu.ukisoma id ya mtu lazima ucheke,post ya mtu ndo kabisa lazima u smile.njoo kwenye comment sasa...
Kanazingua...
KENYEWE: pipi
MIMI: haya kachukue kwenye friji
KENYEWE: taaki (yaani sitaki) kana 2yrs ka kiume
MIMI : Unataka nini
KENYEWE: ua (maana yake nivue nguo joto)
MIMI: Nimekavua nguo...
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku...
[emoji121]
WAKUU,
KAMA WEWE MI MSELA, UNAISHI GHETTO
HALAFU UNATANDIKA KITANDA KINANYOOKA KAMA RULA,
UNAPIKA WALI LAINI,
UNAUNGA MBOGA NA NAZI,
UNADEKI GHETTO NA TAMBARA LA DEKI HADI GHETTO...
Neno maarufu hapa JamiiForums lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu neno hilo ni mkuu, neno mkuu linatumika kila siku na katika kila comments 5 basi 3 zina neno mkuu...
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii...
Kina dada wazuri naomba mnitumie picha zenu pm Nina shughuli ya kufanya lengo ni zuri watakao tuma watakuna na muamala mzuri tu Wa M-PESA tigo pesa na Airtel money!
Karibuni warembo wazuri!
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress...
*Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax...
Habari wana jamvi.
Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana...
#AnnoyingAfricanHabits
When your parents are shouting at you and they ask you a question ,when you try to answer "Don't argue with me,you shut up when talking to me"
#AnnoyingAfricanHabits
When...
Habari za mida wakuu.
Nipo kwenye boti mda huu kutoka Dar kuelekea Zanzibar kubwa kuliko yote nahitaji dua kwa imani yako ili nifike safari yangu salama.