Habari wana members!!!na heri ya mwaka Mpya
Kuna nyakati katika maisha mtu waweza kufanya jambo la kipuuzi hata bila kufikiri na ukajiona upo Sawa
Hayo hutokea katika maisha
Je ni kitu gani cha...
Tutafute ela,
Kama ilivyoada poleni na yote.
Naomba kushea kidogo,ni ivi kwamba nauona huu mwaka mpya#2018 unagawika kwa mbili,kwa mahesabu ya mwalim kashasha hapo au ata tuliofeli mathe ipo wazi...
I love this Story, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A woman went shopping. At the cash counter, she opened her purse to pay.
The cashier noticed a TV remote in her purse...
Kabla ya zama hizi za smart phone kufika, kampuni ya Nokia ilitamba sana sokoni na simu zake pendwa zilizokuwa bora na imara mno. Toka enzi simu za Nokia zinatumia Infared mpk bluetooth.
Simu gani...
Wakuu mambo vipi,
Asee nimejikuta ninamadeni kinoma ambayo kuelekea mwaka mpya sijayamaliza.
Yani unachukua loan pesa haionekani, biz znakuwa ngumu,
Ase nati zinakaza balaa,
Em tuleana mawazo,
Aman iwe nanyi wapendwa
Mwaka ndo huo umesepa
Tumeongeza miaka kazaa
Kuna wengine mwaka umeisha lakin bado tunaish kwa wazazi
Mwaka umeisha beira sijafanya lolote kabisa
Bado naish kwa wazaz...
Hii inahusu wale wanaume na wanawake wanaodanga
Eti bia ya kudangia hata ukiwa unakunywa unaitemea humo ama unaibusu tu chupa bado bia itaisha.
2018 kudanga sio dili
Za jumapili
Oi wanna. .. kuna shavu hapa nataka kuwapa wale mabonge ya watu...
Kuna tamthilia inatengenezwa ya watu wanene a.k.a tipwatipwaz a.k.a Vibonye a.k.a tukunyemaz a.k.a Bongez a.k.a...
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwana jamiiforum ilikuwa ni furaha na vicheko hii tumia majina siyo, inafanya mkionana ku enjoy zaidi, ila nilichogundua wengi wakipanga kuonana wanakuwa na hofu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Zimesalia siku chache sana tuachie ngoma yetu mpya
Ngoma ni kali kinoma
Ngoma itatanguliwa na makiki ya kufa mtu
Ngoma iko chin ya uongoz wa hamisa mobetto...
Kuna jamaa linadaiwa laki mbili hapa mtaani linashinda juu ya mwembe jioni ndo linaingia ndani kumi na mbili katoka juu ya muembe[emoji28]
Mdai nae kila siku asubuhi saa moja kafika...
ibada imeanza.....
watumishi
nabii na mtume miss natafuta
nabii na mtume Bujibuji
nabii dk DJ Sepetu
nabii pastor mtume na bishop@mshana.
naona ukumbi una manabii wa kutosha watajitambulisha...
Heri ya mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Ni mwaka sasa tangu niache pombe,
Kabla ya hapo niliishi maisha magumu sana,
Ukata na majuto makuu kuanzia saa 9 Za uck hadi asbh wakati mwingine...
Habari zenu JF members na wale watumiaji wa kawaida wa Wavuti hii.
Baada ya kuaga mwaka wa 2017 kwa furaha na wengine wakiwa na Frustration kibao pamoja na Stress baada ya mambo yao/yetu kwenda...