JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa...
4 Reactions
127 Replies
9K Views
Binafsi ni mpenzi wa hizo muvi. Takriban miaka saba mfululizo naangalia hizi muvi, awali nlikuwa nanunua Cd, BT kw sasa kutokana na Mitandao kuimarika kiasi fulan Naingia YouTube na kujichagulia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpendwa Najua wote tunataka mafanikio na leo nataka niwashirikishe siri ndogo ya furaha kwa mwaka 2018 Mwaka unaenda kufika mwisho na kwa kuwa ninakujali napenda kukushirikisha ya kufanya ndani...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Mpendwa Najua wote tunataka mafanikio na leo nataka niwashirikishe siri ndogo ya furaha kwa mwaka 2018 Mwaka unaenda kufika mwisho na kwa kuwa ninakujali napenda kukushirikisha ya kufanya ndani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye uelewa mpana kuhusu hii health care field.......kuhusiana na future prosperity yake katika nnchi yetu,nnchi za wenzetu ambazo zipo vizuri katika field hii,katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwangu jamaa alikua anaitwa fadhili alikua form 4 wakati huo nipo form 1 ilikua kila asubuhi lazima tumpe shikamoo mida ya asembo alikua akienda kutoa morning speech kwa utani sasa form one tukawa...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Upo kwenye daladala kuna sehemu labda unaelekea katika mihangaiko yako ya kila siku, unapofika sehemu husika unashuka na kuanza kutembea, katikati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale...
5 Reactions
331 Replies
16K Views
UKWELI MCHUNGU Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika...
1 Reactions
4 Replies
763 Views
*BARUA KWA WANAUME WOTE NCHINI[emoji394][emoji404]* *Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018* 1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki* _hayo ndiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau, Ninafikiria sana swala la kuhama Tanzania na kwenda kuishi nchi nyingine mimi pamoja na watoto wangu.Nimefikiria sana nchi za kwenda na moja nilifikiri nchi za scandinavia,Canada,au USA...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
1: Smart911 vs Mahounda 2: The Bold vs Niffah 3: 4: 5: Na ni kama wameweka Mgomo baridi...!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki siku chache kuufanya mwaka 2017 ubaki story. Leo napenda kuwakaribisha hapa kumtafuta mrembo wa JF wa mwaka huu. Tunajua wapo wengi ila wanazidiana. Hapa...
4 Reactions
101 Replies
5K Views
Heey! nauza majeneza used kwa bei nafuu sawa na bure kabisa karibuni wote
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Hello!, Kama kichwa rungu hapo juu kinavyotanabahi kama wew ulijifunza baiskeli kwa mtindo unaoonekana pichani hapo chini tafwadhali 2018 oa/olewa na utoke kwenu usiwa-parasite wazee wako...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Watu Vijijini wapo bize sana Mwaka mzima wanalisha mbuzi, kondoo, ng'ombe, kuku, bata, njiwa majani na maji na wewe upo mjini Mwaka mzima unalisha mademu chips kuku, Mishikaki, pizza na bugger...
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Habari za usiku huu wadau: Nimeshatandika milk stout kadhaa na kichwa changu kiko mahali pake,kabla sijalala wacha niwachangamshe wadau wangu wakeshaji juu ya suala la nafsi,NAFSI ILIYOFARAKANA...
1 Reactions
2 Replies
773 Views
Hello friends. Nakutakieni mwaka mpya (2018) mwema, na ninamuomba Mungu atufikishe salama. Nawapenda woooote ndugu zangu wa www.jamiiforums.com na hasa wana wa chit chat
0 Reactions
3 Replies
968 Views
A alaykum to all muslim na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu Yesu Kristo. Leo Jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu. Nilianza mahusiano na...
15 Reactions
254 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…