Maisha Ni mapito Na mapitio Kuna mengi yanatokea ambayo hubaki kama kumbukumbu kwa muda mrefu vichwani mwetu. Mwaka unaelekea ukingoni.
Tusimulie jambo lolote ambalo hautalisahau lililokutokea...
Habari zenu,
Katika maisha hasa haya ya kusaka warembo wanaume wengi tumejikuta watu wa kufanya mambo bila ridhaaa kupenda.
Mm si mpenz wa kunywa maziwa kabisa, lakin hapa mjini kuna mdada...
Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara...
Wanaume wa Dar mpooo,kijana Mimi mwanaume wa mkoani toka huku kanda ya Kolomije naja hapo nami nijifunze kula mahindi ya Kuchoma na chumvi,mambo ya chipsi yai na Pepsi bariiidi,jioni nipige slesi...
Hi ni siku ya nne mfululizo naoteshwa eti nimuoe lara1
Huyo lara1 mwenyewe hata siku moja sijawahi kumuona.
Nimemuuliza muoteshaji kwamba mbona nikisoma post za huyo binti ni kama anapenda sana...
01. Akikupigia usipokee, miscall zikifika 16 mtafute, mwambie umeua betri ya simu yangu kwa hiyo hata mimi kuna siku utaniua. Bora tuachane..
.
02. Kama uko naye mnapiga story. Mweleze "you don't...
Wadau
*This is for funny*
Msimu huu wa sikukuu za Xmas na mwaka mpya kuna majina mtu akikuita usikubali kuitika hata kidogo ni bora ukimbie haraka sana.
1.Mkubwa
2.Tajiri wangu
3.Kiongozi...
Ndugu wanajamii naombeni msaada wa vyakula visivyofaa baada ya kulewa, jan I likuw sk yang ya kwanza kunyw pombe baada ya hapo nikarudi zangu home nikakuta wf kaanda samaki na ugali, km kawaida...
Habari wana JF.
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu.
Issue Iko hivi , binafsi sina dini yoyote hapa duniani.
Sasa naomba msaada.
Naomba Kama mnataka niingie kwenye dini-
Like huu uzi
Na...
Jamani najaribu kuangalia hii kafulila style of love na mkewe
Joyce kishoaa najiuliza hivi kuna
Mapenzi ya kweli hapaa
Hebu fikiriaa mume yupo ccm
Ila mke yupo chadema lakini sasa
Mke anaipinga...
Hii party imekua kama utamaduni wa watu wa Jamii forums baadhi lakini kukutana sehemu kujuliana hali.Je mwaka huu 2015 itafanyika lini.
cc@KakaKiiza
lara 1
@ Mtambuzi
Watu8
Madame B...
Ukiingia tu JF kwa wale wapenzi wa jukwaa pendwa MMU hata urefresh vipi utakutana juu na nyuzi za kuwakandia ama za kuwasema hawa watani wetu.
Mnawaminya na kuwatesa bila kujua mtu anatafuta...
je unavyo vigezo?
thubutu kukutwa na millionea
.pete hiyo ndo atayokuvika..imetengenezwa kwa madini ya Tsavorite green na almasi pure.
pete hiyo imebuniwa paris na mbunifu mkubwa wa jewellery...