NImesikia hili swala mara nyingi sana yaani akili za darsani na za maisha....!
Je Akili za darasani ni zipi na za Maisha ni zipi!?
Naomba Kila Mtu Ajibu kwa mtazamo wake...ili Kila mmoja again...
Shimboni Shanii.
Kama kawa kama dawa, mwenye wivu nampa kamba ya buree.
Haina kweree, hainaa nomaaa.
Leta maneno hapa chalii, semaa hii kirisimasi tuauliaa wapi we jamaaa.
Mimi nimejichanga vya...
MKOSI NI NINI
Mkosi ni pale umekutana na dada mzuri barabarani , ghafla upepo mkali ukafunua sketi yake ..
Na wewe Jicho lako likaingia mchanga .. Utatamani kuwe na...
*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*
#.
wakuu kama Kichwa cha thread kinavyosema nina simu yangu mpya nimenunua toka Ebay sasa ipo netwek locked ya kibongo....!
kama wewe nimtaalamu wa kufungua nipe S5 32Gb mimi Nikupe Hii S6 64GB...
Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake...
Wadau,
Ni December sasa. Na ni mwezi wenye matukio mengi sana makazini, mabarabarani na siasani. Naomba December hii tuchukue fursa kuombea taifa letu na tuombe msamaha kwa makosa ya kibinadamu...
Kuna kipindi ulitokea msiba kijijini,sasa Bi.Mkubw na ndugu wengine ikabidi waende maana marehemu alikua Mtu muhimu kwao (shangazi yao,ndie aliebaki katika ukoo wa kina babu).Basi Maza kaniagiza...
Kama mnavyojua wana Jf leo nimewaletea aina mbili za Mke Aina zenyewe ni hizo hapo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
1:Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa...
Kwa wale wazee wa kuweka mizigo, wazee wa soka , kabumbu a k a football, wanajua vizuri usajili wa wachezaji wa mpira. nakumbuka katika mikutano mara kadhaa nimemsikia kocha msaidiz mmoja akisema...
Umekuwa single tokea mwezi wa kwanza mpaka wa 11 na umetafuta mpenzi hukubahatika kupata, cha ajabu mwezi wa 12 umefika tu gafla umepata mpenzi [emoji38][emoji38]buraza usikubali, shetani anataka...
Hi.
Kuna msemo mmoja huwa ni amazing sana kutamka mdomoni mwako. Unakufanya ujisikie god/godes. Lakini unawasha sana masikioni mwa muambiwaji. Unajenga chuki,unaharibu uhusiano,unavuruga...
Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa...
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.
1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za...
Sekta ya majengo inatupa raha sana hapa bongo, ametoka 900 itapendeza sasa kaingia Expansion Joints yaani full shangwe!! Je, nani ataibuka kidedea?.......alamsiki!