wakuu mko poa...
hivi kama mtoto wa mwenzio umuone kama wa mtoto wako,,kama alivyoimba msanii mmoja wa nyimbo za injili hapa Tanzania,
vipi,mke wa jirani yangu pia nimuone kama mke wangu?
na...
Salaam wakuu!
Jana nimelala hotel kubwa tuu pale maeneo ya ubungo, sasa mda flani nikahisi njaa nikasema wacha niagize chochote. Nikachukua kitabu cha menu nikaona tropical fruits =4000tsh sasa...
Kama hawa wanaume wawili watakuwa na mawazo juu ya usalama wa mahusiano yao kila mmoja kwa nafasi yake.
1, ALIEOA MWANAMKE BIKILA
2,ALIEOA MWANAMKE AMBAE HANA BIKILA .
yupi atakuwa na Imani ya...
Wanajukwaa
katika hali ya sintofahamu.
kuna vituko uswahili ambacho wewe
au mimi tuliwahi kukutana navyo!
mi sitasahau hichi kituko.
kuna siku mshkaji mgetogeto aliaalika masela lunch kanunua...
Nakumbuka ilikua mwaka 2004 tarehe 16 mwezi 4 ndio nilikua new arrived.katika hili jiji lenye kila Aina ya mambo, siku ya tarehe ya safari ukweli sikulala hata kidogo Kwa hofu ya kuchelewa...
habari zenu wanajamvi...nisipoteze muda, kuna dada kanisumbua balaa kumpata takribani mwezi mzee ila juzi kakubali na leo yupo machinjioni...kila nikitaka kuchinja ananiambia hajawahi labda...
Wanasiasa wengi humu wamekuwa verified kuanzia Kikwete ,magufuli ana mghwira ,pascal mayala ,zito kabwe ,mbowe ,lowasa ,ali hassan Mwinyi,William malecela le mutuz,mange kimambi
Lakini sijawahi...
Me kwa busara zangu nimemuagizia tu aniletee samsung S8 nina 100,000 kwa sababu najua nini kita happen huko mitaa ya leaders
Wako kikosi kama 20 hivi mbaya zaidi ni watoto wa kino wazawa pande...
Wasalaam mabest!!!
The best way to learn anything is to consult an EXPERT.
---If we wish to improve our golf game we go to a golf pro.
---If we desire to play piano we study under a...
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira...
Naomba kusaidia jinsi ya kwenda kwenye topic moja moja za member humu nisome mfano ya mshana Jr hata za zaman maana namuelewa Sana hyu jamaa nataka nisome topic zake zote moja baada ya nyingine
Nauliza tu mtoto mtam na mbichi kama huyu unamtupaje lupango jaman?? dah, nawaonea donge manyapara wa pale segerea maana wameletewa katoto sealed kabisa, miaka miwili wahuni watakua wanafaidi...
wadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea.
Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom...