Jamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli...
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma...
Una tuma sms kwa mtu ana jibu huku sms ikiwa imechanganyika na tuma neno hutu..
tyu _ tu
Jomoni_ jamani
xaxa_sasa
K_ okay
Vepe_vipi
Buana_ Bwana/Bana
Exn_Thanks
G9t_Goodnight
Poah_Poa
Share...
Katika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...
Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?
Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana...
Habari zenu wanajamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada Mie nashukuru Mungu nimefanikiwa kupata Kibanda nje kidogo ya jiji la Bashite nimehamia kama mwaka sasa hapa,
Sasa kuna Jirani yangu mmoja...
Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na...
Mwaka 2017 ndio huoooo unayoyoma hakika huu mwaka umekuja na unatuacha na mengi.
Umetuletea marafiki na maadui.
Kwa kuuaga huu mwaka TUMA SALAAM kwa watu watatu. Wape na ujumbe kuelekea 2018...
Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au...
wasichana wenzangu amani ya Mungu iwe juu yenu.
Kuna habari fulan mtu kanieleza imepelekea niamue kuwashauri juu ya hili.
Ni hivi,
Nawashauri kama una rafiki yako mnapendana kiasi cha kuwa kama...
Wengi tumesoma na tunajiendeleza kielimu ili ku secure nafasi zetu za ajira maofisini.
Elimu zetu zimekuwa ni matumbo joto kwa mabosi tuliowapita kisomo.
Elimu zetu zimetujengea maadui wengi...
habari wana JF!
Nmekua naona wanaume /wanawake wanaotaka kuwa kitu kimoja(kuoana) kuna kamsemo ''ndio chaguo langu'' kumbe mtu anaangalia vigezo vya maslahi.
Hili lipo zaidi kwa akina dada...