Wadau habari ya Leo? Bado nipo kwenye harakati za kutafuta usafiri ambao utasaidia ktk harakati za kimaisha na familia, hasa safari za mikoani kwa mwezi mara 1.
Naomba msaada wa maawazo, ipi gari...
Wadau, natafuta spare hii. Subaru Forester cross sport 2007 iligonga jiwe kwenye kulikimbia basi lililokuwa lime overtake bila utaratibu wakati wa usiku. Shockup moja ya mbele imepinda na hivyo...
Ninaomba kufahamu kuhusu gari hizi mbili Honda stepwagon na Noah new model.
1. Uimara wake
2.ukaji wa mafuta
3. Upatikanaji wa spears hapa Tza
4. Uvumilivu wa barabata zetu
Sikuwahi kumiliki gari, but truly nimetokea ku fall in love na hii kitu!
Kikubwa ni stability yake brbrni, kuwa na engine yenye nguvu pia bila kusahau upatikanaji wake wa Spea kwa wingi na bei...
Wakuu
Naomba kujuzwa bei ya engine ya Toyota Bb aina ya Engine ni 1NZA050123.
Naomba ushauri ipi nzuri kati ya injini used/mpya pia ambayo ni mswaki na ambayo ni completely
Kwanza nawasalimu wakuu!
Swali langu linahusiana na hii gari katika picha niliyoambatanisha ikionesha sehemu ya chini si pazuri sana. Je, ni shida kubwa sana au ni kawaida tu?
Nawashukuru.
Wadau habarini, naomba mwenye uelewa wa biashara ya UBER anisaidie mawili matatu ikiwa ni pamoja na uzuri na hasara zake.
Nataja kuwekeza sekta hiyo.
Natanguliza shukrani
Salaam.
Ndugu wanajf miaka kadhaa iliyopita nilikutana na uzi hapa kuhusu speed za gari ndogo na gari kubwa laini hakuna muafaka juu ya suala hilo.
Hivi kitaalamu na kielimu.ist ikiwa 80km/h
Ni...
Lengo langu ilikuwa ni kununua hiyo Prado 150. Ila nimeshawishika kuwa naweza pata Hilux double cabin ya 2015 kwa kuanzia 70m wakati prado ya 2010 inaanzia 80m. Lengo ni kuwa na gari ambayo naweza...
Hii Gari ukikaa ina sense kama umelewa
inatumia mfumo Wa mafuta pia wese likikata unatumia chaji (ni ya kuchaji kama laptop
ukiwa kwenye foleni ukikalibia kugonga mbele inapunguza speed yenyewe...
Mazee habari,nauliza kama naweza kwenda Mbeya toka Dar na ka gari kangu haka kadogo ka toyota Passo nina dharula kidogo,na kwa wazoefu mafuta ya kiasi gani naweza tumia,ka passo kenyewe ni kale...
Habari wanazengo, Naomba Kuleta Hii mada ili mwenye kuweza namna ya kutoa mawazo na ushauri juu ya kuweza kujikinga au kugundua kama kuna mtu ana gari inayofanana kuanzia muonekano mpaka namba za...
Ndugu zangu wajuzi wa magari nataka kununua Suzuki Swift new model mkononi kwa mtu. Naomba kufahamu ni matatizo gani gari hii huwa inakuwa nayo ili nijue kabisa najiandaaje kisaikolojia.
Habari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau
Wakuu nimekua nikiona gari zinauzwa mtandaoni mfano gari ya mwaka 1999... Lakini ina kilometa 45000 sasa ninachojiuliza inamana ilitengenezwa 1999 ikawa ina park tu ama wanafanyaje huko kwa...
Hii ni gari yangu imepata ajali, wasiwasi wangu ni kuwa huu ndiyo mwisho wake. Engine inawaka, ndani hakuna shida kimuonekano isipokuwa airbag iliyofumuka, hub ya nyuma kushoto imengoka kabisa...
Fundi waya wa magari ntakuwa bukoba kwa kazi ya ufundi wa wire na programming hivyo basi km gari yako inasumbua upande wa mfumo wa umeme basi nipo bukoba mjini tuwasiliane.Kuchonga funguo na nk.