IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA...
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU:
UTANGULIZI
Kuanzia...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa...
Habari wakuu,
Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.
Kutokana na mada nyingi kuwa na...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread...
Habari wakuu.
Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi.
Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china.
Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara.
Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa...
Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho!
Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua...
Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko.
Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo...
Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB?
Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)?
Naomba...
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa...
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri...
Kwa serious advisers, mimi ninaisha DSM Mbagala, nna 1.5M, naomba nipate wazo la biashara na hiyo pesa ni kwamba biashara ni kuanza mwanzo kabisa.
Pia soma Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza...
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya...
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe...
Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania.
Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na...
Wakati uwekezaji wa miradi Kwa mwaka 2024 ukivunja rekodi iloyowekwa mwaka 2012 kwa.kusajili zaidi.ya miradi 900 yenye thamani ya Trilioni 20 ,Kuna Mikoa ambayo ndio imenifaika zaidi na Wingi wa...
Habari,
Karibu ujipatie matairi Kwa bei nafuu kabisa tunauza matairi ya brands mbalimbali kama vile.
1.CENTARA
2.TRANSTONE
3.DOUBLECOIN
4.RUADLUX
5.VALIANT
6.TIMAX
7.SAFERIN
Hizo ni...
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo...
Nipo Geita kiutafutaji kwa miaka 6 sasa. Mwaka 2017 kuliibuka machimbo jirani na ninapoishi.
Kama utakuwa una ABCs za uchimbaji mdogo wa dhahabu, kuna mashimo mafupi (sesa) na marefu (Rongo)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.