Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.
Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
Pumba za Mahindi (Tani 74)
Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu...
Salute!
Nimefurahi sana kurudi tena JF baada ya kukatika kwa muda kiasi. Wengi mlinizoea kule 'Jamii Intelligence' na thread zangu za kusisimua za 'money hunters', na nilitoa ahadi ya kuwaonesha...
Nina gunia elfu moja za mpunga.
Zenye ujazo wa debe 7, asilimia kubwa ya mpunga huo ni kalamata.
Bei ya gunia ni laki moja na elfu kumi. (110,000/=)
Eneo ni Tabora mjini.
Namba ya simu...
Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja...
Jinsi Ninavyopata wateja wa kazi za freelancing.
Hizi njia ukiweza kuzitumia zitakupa matokeo ndaninya miezi mitatu.
Pia unaweza kuzitumia kwenye biashara yoyote
Kwanza kabisa wateja wa uhakika...
Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro
Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC...
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta...
Je, Tuendelee kuamini kuwa future zetu zimebebwa na misingi wa Ajira??
Na hatutakiwi kuamini katika kufungua fahamu zetu juu ya kujifunza na kubadili mwelekeo??
Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa?
kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online.
Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa...
Mwezi wa 5, 2023...
Nilikuwa napitia mahojiano moja ya mjasiriamali bilionea kutoka Lagos, Nigeria, aitwaye:
"Tony Elumelu"
Alikuwa akieleza jinsi anavyotengeneza faida kubwa bila kutumia pesa...
Wakuu kwema, kuna mahala nimetembelea kwenye page ya mtu x hua anajinasibu kwa kusaidia watu pesa, ukipita kwenye comment section unaweza kuona ni kwa kiasi gani watu Wana matatizo, huyu kaeleza...
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.