**"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii...
Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing
Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya...
Habari wakuu, ninaweza kupata wapi breaching earth - bentonite clay minerals kwa ajili ya matumizi ya ku refine mafuta ya kupikia hapa Tanzania? Nina mini scale refinery machine Mbeya
Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.
Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike.
Kiwanda cha nguo...
habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni...
Hello waungwana wa jamiiforums Naitwa, Davidmmarista. Mimi ni kijana mjasiriamali, programmer, na mkulima. Hii ni stori yangu ya mafanikio katika biashara ya chakula, na jinsi nilivyoweza kufikia...
Bee network will be launched this year being established in 2020, mining every 24 hours the same as pi currency
Bee network will be the best network in the world
Bee Network is the world's...
Nashukuru kwa makaribisho mazuri.!
Naomba moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Naamini asilimia kubwa pengine tupo katika biashara either iwe kubwa au wastani au ndogo. Sasa najua wengi wetu...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri.
Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis.
Swali langu ni...
Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama...
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox...
Sadick Mtulya
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Cag), Ludovick Utouh amesema kuwa upo uwezekano wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufilisika baada ya kubaini kuwa kila...
Habari zenu Wana jamvi?
Matumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu na mkoa wa Iringa niko na mtaji wa sh. Mil 5 nataka kufanya biashara lakini Hadi muda huu sijui ni biashara...
Habari,
Karibu ujipatie matairi Kwa bei za kizalendo kabisa, Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo yote yanapatikana.
Tunauza matairi ya brands mbalimbali na size zote.
Location...
Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka.
Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama...
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!
Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi...
Katika pitapita zangu sijaona thread mahususi yenye idea mbalimbali za biashara ama uwekezaji itakayoweza kuwasaidia wenye mtaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500 kuanzisha biashara...
Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu.
Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye...
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.