Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Salamu Waungwana. Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis. Nimeweka CRDB (Mzigo...
60 Reactions
138 Replies
9K Views
Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko...
8 Reactions
35 Replies
949 Views
Habari wakuu mbalimhali: 1. Naomba kujua namna ya kuwa SUPER AGENT wa mitandao ya SIMU ya YAS/TIGO na VODACOM/ M-pesa. 2. Pia naomba kujua utaratibu wa kua na TigoShop au Voda Shop mfano wa hizi...
8 Reactions
26 Replies
644 Views
Wadau habari za saa hizi ningependa Leo tusambaziane mawili matatu kuhusu biashara ambazo haziku dhaniwa lakini zimetoa watu. Aisee wakuu kuna wakati mwingine maisha yanakufundisha kwamba...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Leo nimefikiria jinsi biashara au kazi za watu mbali mbali zilivyo kufa gafla kutokana na mabadiliko ya teknolojia. Teknolojia inaendana na muda lakini watu wengi kusoma alama zinawapa wakati...
3 Reactions
4 Replies
197 Views
"MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA " Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa...
1 Reactions
5 Replies
379 Views
Kuna mtu ameniuliza swali lenye utata nikaona ni vyema kuandika makala hii ili kutoa ufafanuzi yakinifu. Ameniuliza "kuna tofauti gani kati ya motivational speakers wa Ulaya na Marekani kama...
8 Reactions
11 Replies
8K Views
Habari wanaJF, Leo ni siku nyingine tena. Nimeamka salama, na ninaandika maneno haya kwenye maktaba fulani hivii. Napenda maktaba kwa sababu ya utulivu unaonipa kuwaza na kutia humu. Nilipitia...
7 Reactions
6 Replies
416 Views
Mpendwa mwekezaji, Je, umekuwa ukitafuta njia salama na yenye uhakika ya kukuza mtaji wako? . Kama Jibu ni Ndio, Basi Hii Hapa 👇Habari Njema Kwaajili Yako! . Serikali Ya Tanzania Kupitia Benki...
3 Reactions
11 Replies
525 Views
Mimi ni kijana mpambanaji, baada ya kupambana sana na kazi ya bodaboda kwa muda mrefu sasa nahitaji kuiacha na kufanya mishe nyingine, katika kuwaza sana kipi naweza kukifanya nikapata wazo la...
5 Reactions
28 Replies
15K Views
Wadau nipende kuulize wapi naweza pata soko la dagaa wa mwanza ndani ya dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba. Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank...
74 Reactions
360 Replies
32K Views
Salaams wana JF, Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie. Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kufahamu wateja na soko la kuku wa kienyeji Dodoma na mikoa jirani
7 Reactions
24 Replies
588 Views
Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee...
6 Reactions
1 Replies
226 Views
Ni mashine ya kukaanga karanga. Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi...
2 Reactions
14 Replies
475 Views
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata...
9 Reactions
23 Replies
968 Views
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara. Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 23 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link Pi Network and use my username (SaananeJr) as your invitation code.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom