Hivi kuna mtu humu hafanyi mining ya PI ?
Tafadhali chukua link hiyo mapema
Mambo ya kutekana tekana baadae mgodi ukishatema sisi hatutaki wakati link ya bure ulipewa
Pi Network - Home...
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu...
Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara
Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake...
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia...
Wadau wa JF, habari zenu?
Katika hali ya sasa ambapo bei za mazao hubadilika mara kwa mara, ni muhimu kujua mwenendo wa soko ili kufanya maamuzi sahihi ya biashara na ununuzi. Leo tunajadili bei...
Nimekuja hapa Ili kupata ushauri na changamoto ya biashara hii kwa kijana wa kiume, pia chimbo nzuri la kupata bidhaa hii kwa Bei poa kabsa na mtaji wangu ni 200,000 tu.
Ushauri wenu muhimu hasa...
Habarini wadau .Kama mnavyo fahamu katika harakati za maisha kuna watu wana idea za biashara na kuna watu wana pesa.Hivyo napenda kualika wote wenye mawazo ya kibiashara chini ya million tano njoo...
Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine...
Mpendwa Mwekezaji
.
Je Unapenda Kuwa sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn??
M
Kama Jibu ni Ndio Basi soma hii Hadi mwisho
.
Benki ya Crdb plc Kupitia report yake ya Fedha imetengeneza Faida ya Tsh...
Wakuu nilikuwa nataka ninunue hii mikeka mbao (SPC Flooring) kwa ajili ya nyumbani kwangu ila kwenye mchakato ndo nikaona mbona hii kitu inataka kuwa fursa ya biashara?
Hii PVC flooring...
Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi.
Kwa kutumia...
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing.
Though...
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Mhe. Dkt. Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dkt...
Habarini wana Jamii forum wenzangu!
Natumaini hamajambo ,karibuni tujifunze kwa maendeleo yetu na taifa letu.
Naleta kwako andiko hili kwa ufupi na kwa kina kujenga uelewa kwa maendeleo endelevu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.