Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko...
Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)
👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda...
Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena...
Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya...
Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit?
Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit.
Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji...
Habari wakuu!!
Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.
Ukijaribu ujumbe unakuwa
"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"
Ukiwapigia Customer...
Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini...
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo...
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)
Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile...
Wakuu habari za siku nyingi,
Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania.
Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda...
Habari Wana JF
Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏
Naam Sasa...
Mimi baada ya kumaliza chuo mwezi wa saba nimejaribu kuomba kazi maeneo mengi ila nimekosa kisa Sina uzoefu wa kazi.
Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu WanajamiiForums mnisaidie.
Je, ni...
Wapambanaji wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kupata chombo kipya ngoja nikusanue labda unaweza kupata muongozo uanzie wapi
1. Kuna bank kama...
Huyu hapa "NILIANZA NA FAIDA YA ELFU 13 IKAONGEZEKA MPAKA MILIONI 30" MMILIKI WA CAFE COFEE" hata wewe unaweza ni swala la kujaribu tu, kikubwa kuwa na Nia, Imani na Uthubutu, unafanikiwa
Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!?
Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO..
Wapi naweza pata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.