Nimewahi shiriki shughuli za kisiasa directly 2015, 2020 kama Msafirishaji, uchaguzi ni mchakato wenye hela sana.
Nimeiuliza CHATGPT namna gani unaweza tengeneza kipindi cha uchaguzi huu wa...
Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara.
Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee.
0712302556, 0684240927
BILIONI 46 ZACHOCHEA UCHUMI KIBONDO
SERIKALI ya Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imesema Sh bilioni 46.4 zilizotolewa na serikali zimetekeleza miradi mikubwa ya kijamii na kuleta mapinduzi makubwa...
Kile unachodhani ni takangumu ya kutupa au kuchoma moto kwa msanii wa ubunifu ni malighafi ya kutoa kitu cha kushangaza.. Ni uwezo wa aina yake kugeuza kisicho na faida kuwa cha faida
Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy
Location: Dar es Salaam
NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY
SALARY: NJOO NA DAU LAKO
Mawasiliano: 0767810030
Wakuu, nafikiria kuanza kufanya biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kuuza ama kwa kusambaza ama kufungua kakibanda, ila sina uzoefu mkubwa na hiyo biashara.
Sasa naombeni mnipe ABC's zake...
JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake...
Habarini wanaJF, naomba msaada mwenye kujua kuhusu biashara hii anipe abc. Nina mtaji wa laki nne nataka niagize nazi niiuze bei ya jumla kwenye masoko mfn. Ilala, Temeke au BugurunI
Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu...
Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa...
Habari wana jamvi,
Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki.
Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii...
Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya...
Mpendwa Mwekezaji
Je! Muda wote umekuwa ukitafuta njia ya kujiongezea kipato cha uhakika kila mwezi, lakini kila unachojaribu kinashindikana?
Lakini vipi kama kuna njia rahisi, isiyo na...
"F~B~I "
Lakini...
.
...Kabla ya kukwambia Maana ya hizo Herufi 3 nataka Kwanza nikwambie Kitu Hiki KIMOJA
.
"Njia Pekee ya Kuongeza Thamani ya Fedha Zako ni Kuwekeza"
.
(The ONLY Way To Grow...
Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Utaeleza mambo yafuatayo:
(1) Utaeleza vitu...
Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.
Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe...
Kama ilivyo kawaida JamiiCheck imekuwa ikifuatilia mambo mbalimbali na kuleta mrejesho kama ni kweli au si kweli.
Mimi leo nina jambo ambalo naomba lifuatiliwe na kuleta majibu kama ni sahihi...
Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda.
Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi.
Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.