Je ni Mkoa upi unafaa Kwa kuishi nanutafutaji kati ya haya Majiji 2?
Mbeya-Ikiwakikisha Nyanda za Juu Kusini.
Tanga-Ikiwakilisha Kaskazini Mashariki ya Tanzania.cc Accumen Mo...
Toyota Land Cruiser 2024 White
Foreign Used
Automatic
1000 km
No faults
Second Condition
Toyota
Make
Land Cruiser
Model
2024
Year of Manufacture
White
Color
Black
Interior Color
Show more...
Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia...
Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu'
Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni...
Kuna baadhi ya watu wameumbwa kupinga Kila kitu, kuna Uzi mmoja wa jamaa anazungumzia bishara zinazo lipa zaidi kuliko baadhi ya watumishi serikalini.
Ajabu nikwamba, mtu anatokea kupinga...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano...
Habarini wakuu
Kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kufungua biashara ya uuzaji wa unga wa mahindi ambapo unga utakuwa unasagwa mkoani na kuletwa huku Dar
Kutokana na ugeni katika nyanja hii...
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787!
FAIDA YA HIZI SHIMO
1. Kama utajenga kwa kufata...
Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei...
Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara...
Kwanza niseme tu mimi ni kati ya watu, waliokuwa wakiamini betting kwa asilimia 100, nilikuwa na imani betting ndio kitu itanitoa kimaisha, kuhusu betting ulikuwa huniambii kitu, kuna ile kauli...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL...
Pamoja na kuwalaghai wanachama wao kuwa wamewasilisha nyaraka zote BoT kwa uhakiki/ usajili . LBL mpaka sasa hawajafanya hivyo. Wanachama jiandaeni kisaikolojia jamaa wanawapuna kindezi dakika za...
Habari zenu wakuu, tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka nahitaji niwatie moyo kwa hili, pengine waeza pata pa kuanzia kwa mwaka Ujao.
Mi ni kijana mzawa wa kanda ya ziwa mwenye roho ya...
Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za...
Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya.
Je...
Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.