Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.
1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii...
Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe...
8. Jaribu na Chukua Hatua Ndogo
Ikiwa bado unajisikia kukwama, jambo bora unaloweza kufanya ni kusitisha kufikiri kupita kiasi na kuanza kujaribu. Huhitaji kuwa na wazo bora au mpango mzuri wa...
🔴 KITUO CHA MAFUTA KINAPANGISHWA BOKO, DAR ES SALAAM 🔴
Je, unatafuta fursa ya kuendesha biashara ya kituo cha mafuta katika eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika? Sasa unaweza...
Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo.
Japo...
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni...
Wakuu salama? Najaribu kuuliza ni wapi nitapata kaeneo ka wazi kwa idadi ya watu wasiozidi 100 kwa ajili ya function kidogo. Kwa mwenye kujua tafadhali
Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake...
Sasa Duka Direct inakuletea huduma ya kukuletea mafuta hadi home...
Tunaona fursa zilizoko nyumbani kwako...
"Power Outage? Fuel for your generator from Assam Oil, delivered to your door with...
Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka.
Hapa kuna baadhi ya mawazo ya...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽
Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu...
Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine...
Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine.
Mume wangu aliponiacha nilipitia...
Tunaendelea wadau wangu!
4. Tumia Mielekeo Mpya
Ikiwa unataka kuendelea mbele katika biashara, anza kuzingatia kile kinachokuja. Biashara nyingi zenye mafanikio zimejengwa kwa kutambua mielekeo...
Wakuu Mungu katupa uzima tumeuanza mwaka salama ni jambo la kumshukuru.
Naomba nijikite kwenye mada nahitaji elimu juu ya kufungua kampuni inayo jihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali kwenye...
Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia...
Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii.
Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.