Looking for Website Design in Tanzania? At PixelLinx, we specialize in creating modern, high-performance websites tailored to businesses of all sizes. Whether you need a corporate website, an...
Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina...
Wasalaam,
WanaJF wote.
Baada ya kuwa mwanaJF mtamazaji kwa muda wa miaka 8 hatimaye nimeamua kujisajili rasmi ili kuwa mwanachama hai ili nami niweze kuleta fikra zangu ambazo huenda zikawa...
Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu
✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90
✅nguo ya mtoto...
Habari za leo wakuu. Wanyalukolo nimewafikia na wote mkaao nyanda za juu kusini.
Wengi mnafahamu kuhusu kinywaji cha ulanzi. Kinywaji hiki huzalishwa kutoka katika aina ya mmea wa ulanzi ambao...
Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi...
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi...
Nikiwa kama wakala wa E-money (Miamala ya pesa) nimeshuhudia mambo mengi sana ambayo nafikiri kwa kuyasimulia naweza nikawasaidia watu wengi sana especially mawakala wa hizi Mpesa,Tigopesa...
Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter
Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA.
Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali.
15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo...
Najua unatamani sana kuanza biashara. Unaiota, unazungumzia kuhusu hiyo, unakatiza kupitia hadithi za mafanikio mtandaoni ukifikiria, Hii inaweza kuwa mimi. Lakini unapokuja kuchagua wazo...
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze...
Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza...
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani...
Kwa pamoja, sasa tuanze kujifunza hatua moja hadi nyingine.
Njia 8 za Kugundua Wazo Lako Kubwa
1. Tambua Uwezo Wako na Mambo Unayoyapenda
Moja ya njia bora za kugundua wazo lako la biashara ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.