Maana ya Passive Income:
Passive income ni kipato kinachopatikana bila kufanya kazi kila siku. Mara tu unapowekeza muda, pesa, au jitihada za awali, kipato kinaendelea kuingia bila ya kujihusisha...
Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu.
Thanks in advance 🙏🙏🙏
crdb bank kweli watatoboa soko la Dubai au ndoo itakuwa kama chato maana operational cost za Dubai ni kubwa sana na kingine Wana ubunifu mzuri kuingia sokoni .
Habari wakuu,
Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI...
Need a ride? We’ve got you covered!
From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices.
✨ Why choose us?
✅ Flexible rental options
✅...
Wakuu poleni na majukumu najua mnaendelea vizuri naomba kujua mara nyingi tumekuwa tukiona mtandaon umeme unazalishwa kwa motor zikiwa kwenye mzunguko na dynamo mara nyingi nimejaribu kufanya...
Habari Wana JF.
Thread hii inahusu KARIAKOO
Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda...
Habari wanaJF,
Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi...
1. Usikope Fedha Kabla Hujajua Kiasi Cha Riba Unayopaswa Kulipa.
Soma Vizuri Ujue Riba ni Kiasi Gani Na Uone Kama Unaweza Kuilipa au Huwezi, Watu wengi likija suala la kukopa huwa wanakuwa na...
WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili...
Wadau naomba msaada namna bora ya kuanza biashara hii, nianze na bidhaa gani maana simu na assessories ndo ndoto kubwa,
Ombi langu kwa wazoefu ,ni kupata taarifa kuhusu bidhaa ipi itapush ndoto...
Wakuu kwema, nipo kwenye kisenta flani hivi kimechangamka na hakuna gym.
Naomba kujua mwenye ABC za gym hasara na faida zake,
NB zisiwe zile too clasic
Asanteni
Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali...
VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE
▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba*
▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.