Niombe kusema neno moja kwa sasa kuna vitu avizuhiliki kamwe, moja ya hivyo vitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki, kuna Bitcoin...
Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo.
Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa.
…..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo
Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja...
Kuna biashara ya mtandao wa kidunia ipo hewani ambapo unaelekeza watu wanunue software online na unalipwa kwa miongo 7 kwenda chini kwenye mtandao wako na malipo mengine ni miongo yote kwenda...
Nafikiri wengi wetu mmewahi kusikia na hata kutembelea viwanda vya kutengeneza soda za Coca Cola kama kile cha Coca Cola Kwanza pale Mikocheni, DSM, Bonite Bottlers pale Shiri Matunda, Moshi...
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex...
- Baada yaa maombi ya watu wengi nitoe somo kuhusu forex, andiko hili litaelezea kwa undan forex ni nini, uhalisia ukoje na undan wake ambao huezi kuskia kokote
- Kwa kuanza ningependa kutoa...
Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu...
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo...
All Non-governmental Organizations were registered under Non-governmental Act, 2002 are required to prepare and submit their Annual activities and financial reports to the office of the Registrar...
Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum.
Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula)...
Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia
najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate...
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
📠☎️ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA...
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m
Mawasiliano 0783133121
Wandugu tupeane A BC za kumaintain biashara ndogo ndogo ili tuwasaidie wenzetu wanaotaabika na mikopo ya kausha damu. Hapa tuwaongelee wale wajasiliamali wa chini kabisa. Kundi hili linateseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.