Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu
Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi
1,hali ya hewani
2,aina nzuri ya mbegu
3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa...
1. Watch Videos and Get Paid (Angalia Video Youtube na Ulipwe)
Hakuna pesa inakuja kwa kutizama wananzengo tufanyeni kazi jamani.
•Mara nyingi, wanakutaka uweke hela kwanza kabla wao hawajakulipa...
Habari wakuu,
Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla...
Habari, naomba ufafanuzi kidogo kwa mwenyewe uelewa juu ya uwekezaji Bora wa kupanda na kuuza miti KWA AJILI ya mbao. Juu ya aina Gani ya mititi inasoko na faida nzuri na hauchukui muda mrefu sana...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi...
Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo...
✓✓2025 MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA.
∆ Huu ni mwaka wako wa mafanikio sasa usichelewe fanya haya yafuatayo ili uweze kufika malengo yako mapema
~Tangaza biashara yako kwa namna nyingine kabisa...
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote...
Habari wakuu, kuna rafiki yangu anafanya biashara fedha (Electronic money transfer) nikimaanisha Tigo pesa, Airtel money, Halopesa n.k.
Amekua akitumia kuandika records zake kwa kutumia daftari...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya...
Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni:
1...
Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada.
Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana...
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya...
Habari za majukumu wakuu
Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.