Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na...
Mambo vp wadau
Leo nmekuja km digital market.
Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma.
Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia...
Aslaam,
Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara.
Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua...
Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au...
Simple sana
Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali
Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783
Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini,
Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale...
Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo...
Hello wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo...
Habari wanaJF,
Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe...
Heshima zenu wana nzengo.
Jamani nina swali, kuna nyuzi nyingi humu JF, zikidai kuwa huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa. Sasa swali langu ni kwamba je waajiriwa wote wa Serikali sio matajiri? Mfano...
Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na...
Baada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from...
Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera
Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika
Usichukue mtaji ukawekeza...
Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo!
Kwa Nini Content ni Muhimu?
Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.