Kutokana hili tatizo la ajira kuzidi kuongezeka hapa nchini na kuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani, kuzurula mtaani, kukaa nyumbani tu naomba mtu anisaidie kutupa njia au mbinu...
Habarini za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa Jf.
Ni hivi,
Kuna maeneo ya familia yameuzwa mahali na kila mwanafamilia amepata gawio la Mil.45.
Na kwa kuwa nilikuwa na akiba ya kama Mil.5 benki...
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje...
Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya...
Habari ndugu zangu.
Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA.
Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali)
Kuna jamaa humu alinichek...
Our comprehensive range of services is designed to help your business stand out, engage visitors, and drive results.
Custom Landing Pages: Beautifully designed and optimized to match your brand...
Our comprehensive range of services is designed to help your business stand out, engage visitors, and drive results.
Custom Landing Pages: Beautifully designed and optimized to match your brand...
23,April, 2021...
.
....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM...
Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio
ILA...
Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi
.
...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed
...
Jamani,
Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu?
Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje?
Je, nitapataje zile...
Habari wana Jamvi. Natumai mu wazima. Lengo la uzi huu ni kuomba kujua kwa mwenye uzoefu juu ya Biashara ya Ufuaji nguo na upigaji pasi (Laundry & Dry Cleaning Business).
Ukiwa katika Jiji la Dar...
Habari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
Kwema Wakuu,
Za weekend?
Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja.
Alternatively hizi...
Hakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.