Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate...
Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100.
Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda...
Utangulizi
Katika dunia ya leo, vijana wa Kitanzania wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na umaskini na ukosefu wa ajira. Hali hii inahitaji maamuzi ya haraka na mikakati thabiti...
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri.
📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako!
✅ Bei nafuu
✅ Magari masafi na...
Hello
Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1790275/
Kwa kweli...
Naomba kujua bei za viatu vya mtumba karume kwa sasa na mbinu za kupoint viatu vizuri maana mimi nipo nje ya Dar na ndio naanza mara ya kwanza.
Pia naomba kujua kama kuna guest za kufikia karibu...
Jambo!
Perfume, body spray, nzuri kwa bei poa kabisa yani bei elekezi bei ya Dubai, perfume za kisasa kwanini unukie changamoto wakati nina Perfume nzuri na za kila aina zitakazo kufanya unukie...
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama...
Huenda umekuwa ukitumia usafiri wa Bajaji (pikipiki ya matairi matatu) na kudhani kuwa zote zinatumia mafuta ya petroli pekee.
Hata hivyo, hali imebadilika! Sasa kuna Bajaji zinazotumia Gesi...
UBUNIFU
Tukiwa kama vijana ambao tunataka kujikomboa kutoka kwenye hali ya chini na kusogea kwenye mafanikio yetu na mafanikio yetu yadumu milele inabidi tuwe wabunifu, kuwa wabunifu inamaana...
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad...
Habarini Waungwana!
Leo nimeona nitoe mchongo wa biashara ambayo binafsi nimewahifanya kabla sijapata ajira na natarajia kuendelea kufanya baada ya ajira kuisha.
Uzuri wa biashara hii, pamoja na...
Wakuu habari,
Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo, kama Kilimanjaro & Uhai?
mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1...
Habari wakuu,
Nina shamba langu maeneo ya Morogoro, Melela kama eka 10 hivi, sasa kwenye lile shamba wakati ninalisafisha kuna mwamba umeonekana wa dhahabu wao wanaita mwamba dume na wadau...
JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?
Serikali imezisisitiza...
Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii.
Nilituma...
Jinsi ya Kuanza na Kufanikiwa Kuuza Followers Bila Mtaji – Mwongozo wa Hatua kwa Hatua
Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, hakikisha unabonyeza REPOST pale juu. Tayari? Chukua popcorn zako na...
Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika.
Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc.
Location iwe Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.