Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa...
Habari
Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa?
Naona mabucha mengi ni Ng'ombe.
Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar
Wakuu Nina plan tangu mda mrefu sana wa kuhost 2d animation videos za sayansi na teknolojia. Sasa napata wasi wasi juu ya kipato kinacho lipwa na haya makampuni Facebook na YouTube. Je...
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.
Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na...
Sema sina mtaji.
Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki.
Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na...
Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia.
Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam...
Wazima ndugu zangu,
Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo...
Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na...
Habarini wakuu poleni na harakati za kujikwamua kiuchumi. Nimekuja mbele yenu kupata details za biashara ya chuma chakavu na chupa za plastic.
Vitu ninavotamani kujua ni
1. Mtaji wa kuanza nao
2...
Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu.
Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje...
Nimekaa na kuwaza ya kwamba kama inavyofanyika katika nchi zingine basi hata Tanzania inawezekana tukiwa na utayari na mpangilio mzuri wa mikakati katika nyanja mbalimbali za utoaji huduma...
Mlio na ukaribu na bakresa embu mfikishieni wazo langu 🤔..
Bakresa group inaupiga mengi sana wamewekeza sekta nyingi sana hapa nchini.
Nakutoa ajira kwa watu wengi sana Tanzania na nje ya...
Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na...
Heshima kwenu wakuu, mimi ni mwajiriwa wa Serikali, mshahara wangu ni kima cha kati kama milioni hivi kwa mwezi, actually unanitosha kwa kula tu. Nina mtoto mmoja. Mrs. Pia ni mwajiriwa...
Katika safari ya ujasiriamali, mtaji ni moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara wengi. Bila mtaji wa kutosha, ni vigumu kuanzisha au kukuza biashara yako. Hata hivyo, kuna aina...
Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na...
Huu ni mwendelezo wa Uzi unaolenga Kufahamisha mbinu mbalimbali za mfugaji wa samaki kuweza kufanikiwa katika hii fursa inayohitaji umakini sana kama unahitaji kupata faida.
Mada iliyopita...
Fahamu Kwa kina kuhusu ujenzi wa Kituo /vituo vya mafuta (petrol station ⛽) gharama zake, pamoja na process hasa kuhusu vibali vya ujenzi n.k.
Naitwa Ndama Matandiko najihusisha na ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.