Habari zenu wananzengo. Mi sio mwandishi mzuri naomba tu mnivumilie ningependa kujua kama kuna mtu anafaham juu ya biashara ya kunenepesha ng'ombe na kuwauza.
Naomba tushee utaalam ili nijue...
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Wakuu habari za Wakati huu
Wale wa kwetu jamakanza.
Moja Kwa Moja kwenye mada naiamini sana company ya Silverland Tanzania kwa uzalishaji wa vifaranga bora wa Sasso na nimekuwa nikilipia na...
Hello
Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka.
Historia
Mimi kwa majina ya...
Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana. Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa.
MFANO Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao...
Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla,
Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa...
Una Tsh 50,000,000/= unazotaka kutumia kama mtaji wa biashara lakini muda wako wa kuisimamia kwa karibu sana ni finyu. Labda unakuwa huru wiki moja tu kila mwezi, siku zingine zote za mwezi...
Ndugu Wanajamii;
Tafadhaki naomba msaada wenu wa kujua jinsi ya kufungua shirika lisilo la kiserikali au kituo cha kusaidia jamii ijulikanayo kama "NGO, Trust Fund au Foundation". Ningependa...
Kama una kipato kiasi, na una ndoto ya kuja kumiliki kiwanda cha ukubwa wowote lakini hujui pa kuanzia; Jaribu kutembelea mitandao mbalimbali inayouza mashine, unaweza kuanza na alibaba na...
Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo
Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya...
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali...
Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka...
Habari,
Kwa wale wadau wanaojihusisha na biashara ya madini leo nina jambo hapa nahitaji tuliangalie. Kumekuwa na uhaba au kutokuwa wazi kwa biashara hii ya madini na vito vya thamani mpaka...
Nilikua nina biashara ya uwakala na Kaduka kadogo ka vyakula hapa mtaani na nilikua napata Riziki ya kulisha watoto na kulipa kodi si haba, basi kuna watu wawili wakafungua biashara kama yangu kwa...
Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.