Habar ndugu nipo hapa kuwashirikisha fursa hii ya digital currency ( PI coin) mpya ambayo inaingia sokoni rasmi kuanzia tarehe 31.1.2025
Ndugu zangu Coin hii ni rahisi Sana kuipata Kwan unaipata...
Habari,
Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.
Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia...
Biashara ndogondogo zinaonekana kuwa mkombozi kwa watu wengi linapokuja suala la kupata ajira na kipato. Hata hivyo, kuanzisha na kuendeleza biashara ndogondogo si jambo jepesi. Bila kuzingatia...
Miongozo ya Makadirio ya Kodi ya Mapato kwa Mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (Marekebisho ya 2023)
Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama...
Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama...
Wakuu,
Kumekuwa na wadau kadhaa wakiulizia ni taratibu zipi za kufuata ili kuanzisha maabara binafsi ya afya(Health laboratory),lakini hayajapatikana majibu ya kina kukidhi haja zao,hivyo nimeona...
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya...
Habari,
Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi,
Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje,
Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi...
Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia...
Zipo sababu nyingi za kimazingira zinazoweza kutumika, kujua mwelekeo wa kibiashara utakuwaje kwa mwaka husika na kuendelea.
Sababu au viashiria hivi huitwa MICRO & MACRO ENVIRONMENTS. Kwa pamoja...
Kila siku tunalia biashara ngumu sawa biashara ni ngumu kama hautojiongeza kwendana na wakati wa sasa unataka nini,usipoelewa wakati unataka nini basi "wakati" utakuelewesha unachotaka.
Lazima...
▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini
▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana
▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi
📍Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.