Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili...
Heshima kuu ziwafikie Wadau..
Katika biashara ambazo kukweli naona zina pesa ndefu na ikiwa moja ya biashara ya ndoto yangu pia moja wapo ni hii ya kuendesha kituo cha kuuza mafuta (PETROL/GAS...
Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini.
Inapelekea hadi wale watu wa kawaida...
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.
Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata...
Naamini jf ni kisima cha maarifa humu wamejaa watu wengi sana kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua muongozo wa biashara hii ikiwemo changamoto yake,machimbo ya jumla,faida yake lakini pia namna...
Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja.
Mimi tayar nachumba cha duka...
Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu.
Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana...
My Brutally Honest Advice to Non-Native English Copywriters...
No one else in the industry will ever tell you this.
They'll either dance around the subject like an ostrich with their head in...
Wakuu naomba mawazo yenu.
Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu.
Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama...
Habari?
Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo.
Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery...
Nategemea kukurahisishia kazi zako ewe mteja wangu. Najua kuna muda huenda ukawa una documents zako unahitaji ukazitengeneze Stationary lakini muda wako unakuwa mdogo kwenda kukaa masaa kadhaa...
Bulb za LED Zimeungua? Usitupe – Tunazitengeneza!
Taa zako za LED zimeungua na hazifanyi kazi tena? Hapa ndipo suluhisho lako linapatikana Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua na kuzifanya kuwa...
Salaam Wana JF.
Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza...
Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na...
Salamu zenu wakubwa shikamoo
Mimi ni kijana ninae jitafuta sana
Naishi Mwanza najishughulisha na uchomeleaj, ila tatizo ni moja sisi hatukopesheki nahitaji mkopo wakuanzia laki saba. Nimeunda...
Wakuu
Spidi ya nyuzi za jukwaa hili la bzness hauwezi kulinganisha na majukwaa mengine kama MMU, Jit Chat, Mchanganyiko Siasa, Celebrity, Entertainment n.k.
Hii kidogo mimi inanishangaza maana...
Habari ndugu zangu
Nianzia hapa ivi unakumbuka katika harakati zako za kuanza biashara,ujasiliamali,upambanaji ulianza vp na ni changamoto gan unayoikumbuka ilikupunguza nguvu ila hukukata tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.