Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada...
2 Reactions
9 Replies
329 Views
Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Hakikisha biashara inayokupa kipato inakuwa imara kiasi kwamba ndo inakuwa kama utambulisho wako kwenye jamii kabla ya kufungua nyingine. Kwa mfano kwa sasa likitajwa jina na Bilionea Mulokozi...
10 Reactions
14 Replies
631 Views
Wadau nimekuwa nikifikiria sana Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box (business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv...
2 Reactions
4 Replies
191 Views
Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei...
1 Reactions
5 Replies
322 Views
Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Daaaaah "Asie sikia la mkuu huvunjika guu" na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu" "Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24] Thread in a nutshell[emoji993]...
18 Reactions
96 Replies
13K Views
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni ushauri na ushuhuda kama kuna mtu aliyewaikununua tinga tinga robot kwaajili ya kutrade forex kutoka kwa billionaire forex academy
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili...
8 Reactions
24 Replies
5K Views
Jambo Jambo? Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji...
14 Reactions
53 Replies
9K Views
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo: Ripple (XRP) Cardano (ADA) Tron (TRX) Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu: - Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164 -...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
8 Reactions
12 Replies
595 Views
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini...
1 Reactions
7 Replies
327 Views
🔥🔥 ukweli mchungu ni kwamba🔥🔥🔥🔥🔥🔥 📌Cryptocurrency imekuwa maarufu kutokana na uwezekano wa faida kubwa, lakini pia imevutia matapeli ambao hutumia mbinu mbalimbali kudhulumu watu. 📌📌Matapeli...
2 Reactions
3 Replies
435 Views
Habari za Mchana Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Msaada kama kunamtu anajua kama utt amis wanafungua ofisi zao jumamosi
1 Reactions
5 Replies
251 Views
Habari wanajamvi wenzangu katika jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali, Pasipo kupoteza muda naomba nitoe ufaganuzi kidogo kuhusiana na Kodi ZINAZOHUSIKA katika uagiza wa gari Toka nje...
2 Reactions
10 Replies
563 Views
Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom